Jamaa mkali

Jamaa mkali

mluga

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
676
Reaction score
215
Huyu jamaa anastahili sifa za pekee, yaani dunia ya leo unaongeza mke wa pili , yule wa kwanza anafurahia hivi kweli? au alilemewa na kazi ya jamaa ha ha ha ha Habari kwa hisani ya Global Publishers
 

Attachments

  • Moroharusi3.JPG
    Moroharusi3.JPG
    53.4 KB · Views: 157
  • Moroharusi8.JPG
    Moroharusi8.JPG
    54.8 KB · Views: 145
sijakusoma bado mtu mzima jamaa ni mkali kivipi.....?
A%20S%20465.gif
 
Jacob Zuma ana wake watano na juu ya hapo ni rais wa nchi !
 
Back
Top Bottom