Hapana kwa sababu mbili; kwanza ametii kutokukojoa mahali palipokatazwa (zingatia mshale unaoelekeza), pili, huo sio mkojo ni maji kutoka kwenye bomba... angalia wingi na pressure yake sio vya kawaida. Ukiangalia pembeni kulia utaona alijaribujaribu sehemu nyingine kabla ya kupiga hii picha...