Mmeanza kupangiana hadi mavazi???
Bodaboda huyoHata kama afya mkuu hilo lijacket kwenye 26°C? Stockholm sasa hivi spring 5°C yameshawekwa kabatini kwasababu ukiyavaa yanakusumbua. Haya majaketi ni ya sub zero temperatures.
RRONDO mrangi Chaliifrancisco
adriz de mbusii
Sasa hivi kuna Shein pia.Koti kanunua Temu,,, unaweza kuta anakula upepo tu hapo lol