Ama kweli za mwizi arobaini, nikiwa naendelea na kazi zangu humu ofisini kuna rafiki yangu mmoja amekuja ofisini kwangu macho yamemtoka, sijamuuliza tayari akanipa simu yake na kunionyesha sms ambayo kwa wakati huo ilikuwa bado ipo juu ya screen. Aliposcroll hadi chini nikaona ni jina na namba ya mke wake. Ujumbe ambao uliforwadiwa na mywife wake uliandikwa hivi: "SIKUTEGEMEA KAMA UNA MAPENZI MATAMU NAMNA ILE, YAANI JANA NIMELALA MWEPESI NA HATA KWENYE NDOTO ZANGU WEWE NDO ULITAWALA, NAAHIDI SITOKUACHA DEAR!". Sababu ya kuja kwangu mbio ni kunieleza kosa alilofanya na kuniomba ushauri ili akakabiliane na mkewe nyumbani. Nimebaki nacheka ingawa jamaa anataka kulia na nikamuahidi tukapate lunch pamoja ili tuchakachue ishu. Nimshauli vipi jamaa huyu ili wainusuru ndoa yao?
...panic ya nini, kwani jana hakulala kwake? amwambie ndio kamtumia yeye (mkewe) ujumbe huo.
Tena mwambie akakamae na kumkazia macho wakati akiyatamka hayo iwapo atashindwa mkumbatia.

Panic ya ninin? hehe, inategemea kama huo wepesi alipunguza 'jana'kwa mkewe!
Mtoa mada
Sasahivi ndio anajua kuinusuru ndoa?!?! kuna watu wanachukulia wenzao for ganted kweli kweli) Mshauri amuache mkewe ili asimuache yule 'dear'...
Mnafundishana uovu! Hivi hapa jf kumbe ni darasa la wale wanaoelekea ile njia pana? Your days are numbered!
...panic ya nini, kwani jana hakulala kwake? amwambie ndio kamtumia yeye (mkewe) ujumbe huo.
Tena mwambie akakamae na kumkazia macho wakati akiyatamka hayo iwapo atashindwa mkumbatia.
Mbu ni wewe?haya bwana....mie wkati wangu wa kasheshe home hii ilinitokea, akajua mkewe ana akili ya kushikiwa so alijua hakutakalika kabisa japo tupo kweny matatizo, ilikuwa kinyume, alivyorudi job ckumuuliza lolote, anasalimia mara mbili mbili kuhakiki kama naitika, kilimuuma roho sana alikuja kutoa maelezo mwenyewe baada ya kutaka tuweke mambo sawa, wanaume cjui muwekwe kwenye kundi gani kwa kweli.
Ndo zako eh! Ukiwa unamdanganya mkeo jisura lako linakuwa hivi :bored:
du yaani aipoteze blackberry curveHapo hakuna ujanja labda apoteze simu na ajitetee kuwa hiyo meseji imetumwa na wezi wake wa simu..