Jamaa kamuacha manzi yake kisa kakuta condom kwenye mkoba wa demu

PRINCE PRIS

JF-Expert Member
Mar 29, 2015
347
587
Msela amemuacha manzi yake kisa kakuta kondom kwenye pochi ya demu na jamaa anasema hajawahi kutumia ndomu sasa hizo ndomu zinafanya nini kwenye mkoba wa manzi?

Unadhani jamaa kafanya fair kwa demu wake?

Wadada: teteeni uamuzi wa jamaa.
Washikaji:mteteeni demu
 
Hajafanya vyema, kuna ofisi wanagawa kondomu bure tena zinawekwa choon, ninakofanya kazi zipo hata mim nilichukua paketi moja Niko nayo hapa geto nimeichukua kama urembo, huenda kaichukua kwa ajili ya kumpa huyo njemba ,kumbe njemba anatabia ya kukagua mapochi kabla hajapewa akaona, hapo hata ukimwelesha mwanaume hakuelew, ila omba usikute kondom kwenye mfuko wake atakudanganya hii nimenunua kwa ajili yetu mpenzi akati chin ya uvungu was kitanda anaboksi limejaa,wanaume tuishi nao kwa kuwavumilia tu
 
kwanini huyo jamaa apekue mkoba wa demu wake ??
na huyo demu kwanini atembee na kondomu kwanini hakuzitupa au ndio ufahari ??
 
Hajafanya vyema, kuna ofisi wanagawa kondomu bure tena zinawekwa choon, ninakofanya kazi zipo hata mim nilichukua paketi moja Niko nayo hapa geto nimeichukua kama urembo, huenda kaichukua kwa ajili ya kumpa huyo njemba ,kumbe njemba anatabia ya kukagua mapochi kabla hajapewa akaona, hapo hata ukimwelesha mwanaume hakuelew, ila omba usikute kondom kwenye mfuko wake atakudanganya hii nimenunua kwa ajili yetu mpenzi akati chin ya uvungu was kitanda anaboksi limejaa,wanaume tuishi nao kwa kuwavumilia tu
Wewe umechukua ya nini? Wakati hujaolewa uko geto
 
Usimuache demu endapo utabaini kua hajatulia bali mgeuze uwanja wa mazoezi au punch bag huku ukitafuta toto zuri la ndoto baada ya hapo toroka mwache na umalaya wake ili alambe karata dume ahangaike nalo mwenyewe.
 
Msela amemuacha manzi yake kisa kakuta kondom kwenye pochi ya demu na jamaa anasema hajawahi kutumia ndomu sasa hizo ndomu zinafanya nini kwenye mkoba wa manzi?

Unadhani jamaa kafanya fair kwa demu wake?

Wadada: teteeni uamuzi wa jamaa.
Washikaji:mteteeni demu
Shukuru huyo anatumia condom. We unazani kuna kum* ya peke yako?
 
Hajafanya vyema, kuna ofisi wanagawa kondomu bure tena zinawekwa choon, ninakofanya kazi zipo hata mim nilichukua paketi moja Niko nayo hapa geto nimeichukua kama urembo, huenda kaichukua kwa ajili ya kumpa huyo njemba ,kumbe njemba anatabia ya kukagua mapochi kabla hajapewa akaona, hapo hata ukimwelesha mwanaume hakuelew, ila omba usikute kondom kwenye mfuko wake atakudanganya hii nimenunua kwa ajili yetu mpenzi akati chin ya uvungu was kitanda anaboksi limejaa,wanaume tuishi nao kwa kuwavumilia tu
Niko nayo hapa geto nimeichukua kama urembo

Mkuu dhambi hiyo ujue..
 
Back
Top Bottom