Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 36,229
- 60,549
Kwa hiyo siku hizi ukiona msg tu tayari inaitwa kumfumania?Sio kweli mana ukifumania ni suala ambalo maamuzi yake ni kuachana na hakuna muda wa kujipanga.
Kwa hiyo siku hizi ukiona msg tu tayari inaitwa kumfumania?Sio kweli mana ukifumania ni suala ambalo maamuzi yake ni kuachana na hakuna muda wa kujipanga.
Huyu jamaa alileta uzi kabla ya huu huenda hujaupitia, mpaka maamuzi ya talaka yanafikiwa ni jamaa kukataa kusamehe baada ya vikao kadhaa.Sio kweli mana ukifumania ni suala ambalo maamuzi yake ni kuachana na hakuna muda wa kujipanga.