Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 4,636
- 15,249
Ukisoma comments za huu uzi utacheka sana huku unashushia na kahawa ya vuguvugu
hahaha pm itajaa maombi ya kuunganishwa na huyo mgangaAhhah tangazo lip
Na wewe umelionaUkisoma comments za huu uzi utacheka sana huku unashushia na kahawa ya vuguvugu
Jf wanapenda uchawihahaha pm itajaa maombi ya kuunganishwa na huyo mganga
hakuna anayetaka kufa masikini mkuuJf wanapenda uchawi
Dah kwelihakuna anayetaka kufa masikini mkuu
Hakujua anaenda kutana na nini?Ningekua mimi ningefungia mshedede wangu barafu ndipo niingie kwenye zoezi
Pamoja na hayo nina dawa ambayo ukipaka inalala siku 7Hakujua anaenda kutana na nini?
Kwamba Wewe ni mganga wa kienyeji,!Ndio akili yako ilipo ishia
😂😂 we muongo aki tenaPamoja na hayo nina dawa ambayo ukipaka inalala siku 7
Hapana ata sijui izo mamboKwamba Wewe ni mganga wa kienyeji,!
Ninayo kweli... Ndio nawapea wale vijana watengeneza mkongo wanachanganya na matirio mengine ndio maana hata mkongo ukizidisha haiamki 😃😂😂 we muongo aki tena
UnawakatiliNinayo kweli... Ndio nawapea wale vijana watengeneza mkongo wanachanganya na matirio mengine ndio maana hata mkongo ukizidisha haiamki 😃
Nawakatili wakati wanatengeneza ajira zao kupitia mimi?Unawakatili
raisi naunga mkono hoja yakoSijawahi chati na mtu Dm toka nimejiunga humu nafikiri hapa unanisingizia bwashee
Huko siendiUgweno
KisaHuko siendi