jamaa kakosa utajili

jamaa kakosa utajili

Kuna jamaa alienda kutafuta utajiri uko milimani aliekezwa na rafiki ake ambae walisoma wote sasa jamaa alivyo ona mwenzie tajiri nae akatamani akaelekezwa

Kufika kwa mganga pale mganga akampa mashariti mengi ila hayo yote aliyaweza ika bado moja ambalo halitakiwa kuingia kwenye iko chumba ambapo atamkuta mwanamke uchi ila hatikiwi kudindisha kabisa jamaa alijiamini akijua anatoboa

Bhna bhna akaingia humo ndani ile kumuona tu mjegeje ukainua pole pole yule mwanamke akawa kapotea kimazingira kumbe ile ilikuwa shart kwamba hatakiwi kujihusisha na wanawake kabisa maana uchawi wao pesa haipo kwa mwanamke jamaa alikosa utajili na sasaivi kawa masikini zaidi ya vile alivyo kuwa mwanzo

je ungekuwa wewe ungeweza?
Story ya kutunga kenge wewe utabakwa
 
Back
Top Bottom