Jamaa kafumaniwa Liveeeeee

Hizi scenes za movie fake. Huyo mwanamke kafumaniwa Nae kuweka pozi Kama anapakwa lipstick?
 
Hiyo ni scene ya sinema za Tanzania; na hao waigizaji ni wauza sura tu kwani hawajui hata kulifanya igizo libebe hata chembe ya uhalisia!!!!
 
Kivipi mmoja hajavua hata saa mwengine anamashuka....ya guest tayari
 
Hilo panga nikahisi labda ndo ile ya FISICHAWENE a.k.a Josephat Joseph
 
Kweli hii filamu...demu anaonekan akabisa hana hisia za fumanizi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…