Jamaa kabahatika kupata Pirate la kisomali!

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Kuna jamaa yangu mtanzania amebahatika kupata mtoto wa kiume na mwanamke wa kisomali. Mtoto ni mzuri kwa kweli na anavutia, lakini kila nikimshika sijui kwa nini mawazo hayanitoki kufikiria ya kwamba nimembeba gaidi/ pirate wa kisomali. Si unajua tena mtoto wa nyoka ni nyoka.

Jamani hivi nifanyaje kuondokana na mawazo haya machafu? kwani kila msomali unayemjua ana tabia mbaya kama inavyotangazwa na vyombo vya habari?

Asanteni
 
duh huyo hachelewi kujilipua ama kuteka hata humo nyumbani,mwambie ndg yako akipata mapepa ajikate kama anajipenda:smash:
 
kwanini unakuwa na mawazo mabaya kwa mtoto asiye wako,akiwagaidi,shoga,jamabazi we unapatahasara gani.....kwa nini usiwaze namna utakavyowalea wakwako ili wasiwe magaidi......utachekwaaa:washing:
 
we babuk ushauri gani huu,mapepa ya kisomali wakati hata nchi hawana:lol::lol::lol:
 
Kama si wako kaa mbali naona hayakuhusu kapenda yeye kazalisha yeye wewe yanini kuhusika nayo???
 
kwanini unakuwa na mawazo mabaya kwa mtoto asiye wako,akiwagaidi,shoga,jamabazi we unapatahasara gani.....kwa nini usiwaze namna utakavyowalea wakwako ili wasiwe magaidi......utachekwaaa:washing:

Kama si wako kaa mbali naona hayakuhusu kapenda yeye kazalisha yeye wewe yanini kuhusika nayo???
Namshangaa huyu jamaa huyu mwanamke na mwanae wako kwa rafiki yake yeye yanamhusu nini ? Kuna wabongo wengi tu wameoa wasomali ulaya/marekani wengine kupata sheria wengine kwa mapenzi ya kweli,Wasomali hupata sheria/uraia wa huko haraka kwa sababu ya matatizo huko kwao.
 
namshangaa anatoa wapi mawazo mabaya kama hayo kwa mtoto wa mwenzake,hajui ulimi uliponza kichwa ndo hawa baadae wanashangaa nini kimetokea kumbe hajui imerudi kivingine,amuulize yule mchezaji Shekhani kajipatia karatasi zake kiulaini tu wakati kina Machupa na mwenzake Credo wanaoza huko hata kazi ya kufagia wanaitamani karatasi ziko wapi...
 
Halafu aliposema mwenzake 'kabahatika' ina maana hata yeye alitaka lakini kakosa sasa haya maneno ni yamkosaji.
 
U guys le mi tel u one thing not every somali u c is pirate.even me is somali nd am married 2 tanzanian nd i got babie girl wid him.inamaana even ma babie girl is pirate.u guys let respect each other dont tok shit abt somalis
 
Salma hiyo lugha not reachable kwangu
 
Kuna jamaa yangu mtanzania amebahatika kupata mtoto wa kiume na mwanamke wa kisomali. Mtoto ni mzuri kwa kweli na anavutia, lakini kila nikimshika sijui kwa nini mawazo hayanitoki kufikiria ya kwamba nimembeba gaidi/ pirate wa kisomali. Si unajua tena mtoto wa nyoka ni nyoka.

Jamani hivi nifanyaje kuondokana na mawazo haya machafu? kwani kila msomali unayemjua ana tabia mbaya kama inavyotangazwa na vyombo vya habari?

Asanteni

naomba uwakome wasomali.bona mm msomali nimezaa na msambaa naishi hapa tz bona sijaona km wanambagua mwanangu.
 
Halafu aliposema mwenzake 'kabahatika' ina maana hata yeye alitaka lakini kakosa sasa haya maneno ni yamkosaji.
Swadakta kabisa hapo alipo anatamani kukapata hako kapirate,unaona anavyokasifia kazuri....umenena vyema uporoto ubarikiwe sana siku yako ya leo....
 
am saying this pliz u guys especially payuka stop talking bad about somalis

thanks salma! what's an eye opener!!!!! I thought every somali is a pirate, but since you hv clearly elaborated I think I need 2 change my habit!
Once again apologies for mis-conception!
 
Swadakta kabisa hapo alipo anatamani kukapata hako kapirate,unaona anavyokasifia kazuri....umenena vyema uporoto ubarikiwe sana siku yako ya leo....

Acha kushadidia vitu usivyovijua, read btn lines utaelewa nilikuwa namaanisha nini? ninyi ndo mnosema chadema wanawatakukana ...mkiulizwa matusi hamna cha kujibu!
 
usiniletee siasa zako za maji taka weye.......umbea tu baba zima tutakuvisha shanga muone kwanza:hatari:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom