Jamaa atengewa hotpot lenye mkaa dinning

Jamaa atengewa hotpot lenye mkaa dinning

Yaani mimi sijui kwanini mke wangu hanitawali... Maana akinitishia kwenda kwao naita usafiri uje mlangoni kabisaa..
Wangu aliondoka, daah niliishi maisha mazuri sana, alirudi baada ya miezi kadhaa sijawahi kumuuliza alipokuwepo japo nilikuwa nnajua yupo kwao, alikuja kuniambia wewe pixel wakiitwa wanaume songa mbele
 
So ndo amuekee mkaa kwenye hotpot ilhali vyakula vipo ndani.....???
Jamaa kazingua hata kama unaacha hela bas wasaprise maramoja moja uwe na kitu kipya kila siku mkaa ndo nini hata kama unaacha hela basi nawe emea siku moja moja ndo wanawake walivo,unaeza siku nyingine ukaleta nyama,zingine samak au ukaja na ndoo ya viazi inamaan hko anakopita haonag vtu vya kuleta nyumban wanamke kamkomesha mwanaume asojua kujiongeza
 
Shida yangu mimi mkorofi sijawahi kumpiga hata kibao mke wangu ila anajua kabisa kubadilika uwaga ni dakika sifuri

Naweza kumchekesha siku nzima ila the moment analeta ujinga hapo hapo nabadilika siwezagi kbs kuvumilia ujinga

Wanaume tusiwe wapole sana hata kama hatupigi wake zetu lkn lazima tuwe na ukali flani wa kutovumilia ujinga sasa kama hapo mimekuja na wageni kwa mfano si unanitia fedheha mbele za watu
 
Amezid na yy siku nyingine aulize nilete nn wife..hivyo tu
Sawa lakin mke naye mkorofi, kwa nini na yeye asimwambie jamaa kuwa mkaa upo leta kitu fulan au wanaishi kwa kuviziana. Maelezo yanasema kodi ya meza huwa inaachwa sasa shida ni nini kama sio nidhamu mbovu ya mwanamke
 
Sawa lakin mke naye mkorofi, kwa nini na yeye asimwambie jamaa kuwa mkaa upo leta kitu fulan au wanaishi kwa kuviziana. Maelezo yanasema kodi ya meza huwa inaachwa sasa shida ni nini kama sio nidhamu mbovu ya mwanamke
Shida ni bei ya mkaa..Ha ha ha
 
daaaaah
Hivi huyo mwanamke au aina hio ya wanawake wanao zungumziwan hapa huwa wanapatikana wapi???????😬
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom