BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,628
- 19,810
- Thread starter
- #41
Hamna mkuu sio mimi. Mi akinifanyia hivi nadhani moto wake utazimwa na jeshiHuyo jamaa ni wewe...pole sana mkuu
Hamna mkuu sio mimi. Mi akinifanyia hivi nadhani moto wake utazimwa na jeshiHuyo jamaa ni wewe...pole sana mkuu
😀😀 mkuu toka lini mkaa ukaliwa?Alivoula alishiba?
Mkuu kuoa ni takwa la uumbaji, so hatuna budi pamoja na changamoto zake.Daahh mtihani sana .. Sasa mnaoa ili iweje !? Kukamilisha kanuni tu au !?
Nina uhakika anaacha matumizi coz simsikii hata kuwa na michepuko so hela anayoipata ni ya familia. Lakini pamoja na hayo hivi kweli unaweza kumtengea mwenzio mkaa? Umnawishe mikono, uombee chakula kumbe ndani ya hotpot kuna mkaa? Huyu dada jambaziHuyo jamaa yako kakudangani
Itakuwa haachi matumizi...
Yeye akununua mkaa anajua unga Michele mboga zinajishusha zenyewe
😀😀
Ila yawezekana Kuna sababu iliyomfanya Huyo mwanamke afanye hivyo.
Kuna surprise zingine zinakuacha mwili hauna nguvu so unashindwa kufanya chochote
Kila kitu kinachofanywa hua kina sababu hoja ni mashiko ya sababu husikaIla yawezekana Kuna sababu iliyomfanya Huyo mwanamke afanye hivyo.
Mwanamke mwenye akili timamu hawezi tu kuanza kufanya hivyo pasi na Sababu.
Ila naye mwanamke ndio katenga mkaa kweliKila kitu kinachofanywa hua kina sababu hoja ni mashiko ya sababu husika



wanawake wengine ni nyoko
na siku akipeleka kisamvu,asishangae usiku kitandani anatengewa kisamvu cha kopo



