Kipaumbele chao ni Sura na umbo baada ya wiki kesi zinaanzaVijana mnapotaka kuoa kuweni makini wakati wakuchagua wake wa kuoa
Sasa waweza kuniambia huyo mwanamke anatofauti Gani na Chizi Kibedui
Kuna watu wengine ni vichaa badala ya kuwaacha na vichaa vyao mnawachukua mna waoa/wana waoa na hatimae mnakuwa mmewapa majukumu mazito ambayo hayaendani na uwezo wao wakufikiri
Msipo kuwa makini kila siku mtakuwa mnalia lia na Mikasa ya kutisha katika ndoa itakuwa haiishi
BTW -- Nimecheka sana ...mkaa !!!!
Mkuu,Huyu itabidi tumkalishe kikao anatuaibisha kwakeli kwanza ilitakiwa ile amefunua tu hotpot na kukuta mkaa angemuuliza mbona hivi sasa ile anaanza tu kujibu hapohapo anamrukia na kichwa kile cha ulipo tupo.. hicho kichwa kwa tunaojua kukipiga mtu lazima atoke na nundu..![]()
Maelezo itanichukua muda sana..Mkuu,
Hebu mwaga darasa hicho kichwa cha "ulipo tupo" kinapigwaje?
Ungempiga?Hapendi muvi za karate yeye anapenda muvi za mume bwege, za mume kulishwa limbwata na muvi za shilole kumchapa Nuhu Mziwanda
Kuna mpigwaji hapo?Mke hapigwi vichwa, utasababisha kichaaa chake kuongezeka Mara elfu tano.
Tayari huyo mke ana sifa za yule mfungwa mpiga kelele wa JF
Daahh mtihani sana .. Sasa mnaoa ili iweje !? Kukamilisha kanuni tu au !?😀😀 Wengi siku hizi tunaangukia mapepo sio wanawake
wanawake wengine ni nyoko
na siku akipeleka kisamvu,asishangae usiku kitandani anatengewa kisamvu cha kopo

Hayo maisha sio ya mke na mume! Mkishaingia kwenye ndoa mnapaswa kuwa na mawasiliano! Iwapo kuna mapungufu ni vyema kuwekana chini na kuzungumza!Tatizo yawezekana mumewe akisafiri anaacha pesa ya wiki 1 ilhali yeye anakaa huko majukumuni mwezi mzima, labda ni tabia ya muda mrefu na kashaambiwa na mkewe ila ndo habadiliki, mke kaamua kumtengea anachokiona mume ni muhimu sana.
Ama la uchumi umembadilikia mume ghafla tena mfululizo hivyo kushindwa kutimiza majukumu aliyokuwa akiyatimiza mwanzo.
Sema mkewe hakutakiwa kufanya hivyo, yeye angemkarimu tu kama alivyomkarimu kwenye kuoga na kumpakulia kile alichokuwa ameandaa kabla ya mume kuja ama kutokumtengea chochote kama hakukuwa na chakula, bila shaka mume angeelewa ndani kukavu.
Tatizo yawezekana mumewe akisafiri anaacha pesa ya wiki 1 ilhali yeye anakaa huko majukumuni mwezi mzima, labda ni tabia ya muda mrefu na kashaambiwa na mkewe ila ndo habadiliki, mke kaamua kumtengea anachokiona mume ni muhimu sana.
Ama la uchumi umembadilikia mume ghafla tena mfululizo hivyo kushindwa kutimiza majukumu aliyokuwa akiyatimiza mwanzo.
Sema mkewe hakutakiwa kufanya hivyo, yeye angemkarimu tu kama alivyomkarimu kwenye kuoga na kumpakulia kile alichokuwa ameandaa kabla ya mume kuja ama kutokumtengea chochote kama hakukuwa na chakula, bila shaka mume angeelewa ndani kukavu.

Mmeshaanzaa kutuandikia essay za historia kenge nyie hamjui mnatukumbushaa form four bTatizo yawezekana mumewe akisafiri anaacha pesa ya wiki 1 ilhali yeye anakaa huko majukumuni mwezi mzima, labda ni tabia ya muda mrefu na kashaambiwa na mkewe ila ndo habadiliki, mke kaamua kumtengea anachokiona mume ni muhimu sana.
Ama la uchumi umembadilikia mume ghafla tena mfululizo hivyo kushindwa kutimiza majukumu aliyokuwa akiyatimiza mwanzo.
Sema mkewe hakutakiwa kufanya hivyo, yeye angemkarimu tu kama alivyomkarimu kwenye kuoga na kumpakulia kile alichokuwa ameandaa kabla ya mume kuja ama kutokumtengea chochote kama hakukuwa na chakula, bila shaka mume angeelewa ndani kukavu.
Zote ngumu ila nadhani ya pili ina uafadhali kidogo😀😀Njia mbili simultaneously way na alternative way.
Simultaneously way anatakiwaa ampindulie mezaa kama shilolee
Yan uchebe part 50.
Alternative way
Ampandisheee cheo awee mke MKUBWA .
🤣🤣🤣😂😂😂