Jamaa anywa maji ya kunawa

Jamaa anywa maji ya kunawa

Samchong

New Member
Joined
May 15, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Ilikua n maisha kigetogeto skuli asa jamaa akaingia geto akakuta msosi mezan akakaribishwa akachukua maji ili anawe gafla akaingia jamaa mwingingine mara baada ya huyo jamaa mwingine kuingia 2kaona yule aliyekua akichukua maji ya kunawa anayanywa kuuliza kulikon kumbe alikua ametoka kukandamiza msosi kwa yule jamaa mwingine aliyeingia kwahyo akazuga kua alikua anakunywa maji na c kwamba alikua akinawa ili ale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom