Jamaa anayemtukana kikwete hapa posta mpya...

Kwa nivyowajua ccm asingekua usalama wa taifa washamgonga na gari kama yule mzee aliyesema ccm itakufa kabla yake na wiki ile ile akagongwa na gar pale ubungo akafa
 
Hacha atomboke 2 kwn anayoyasema ni ya uongo!.nipeni ratiba zake plz me ni prodyuza nataka nimpe ofa ya kutoa single ya hayo anayoyaongea iwe kw njia ya muziki
 
 
mi ninacho mpendea ni utalaam wake wa kupiga ngoma.nenda pale ijumaa jioni kuanzia saa 11.usafiri ukiwa mgumu huwa ananiliwaza kwa utalaam wake wa kupiga ngoma.furrrruuuu...burdan.mia

Uyu sio yule mpiga ngoma muhubiri mzee mzee ivi, uyu ni mwngne,mshkaji flani ivi,yani kila jion mi nikiwa napta pale lazma umkute,jamaa anajitukania Kikwete adi balaa
 
Mi namfahamu yule mzee, huwa anahubiri kila siku ya j3, j5 na ijumaa. posta mpya. Ila sijawahi kumuona akitukana zaidi ya kupiga ngoma yake na kuimba.
 
Hacha atomboke 2 kwn anayoyasema ni ya uongo!.nipeni ratiba zake plz me ni prodyuza nataka nimpe ofa ya kutoa single ya hayo anayoyaongea iwe kw njia ya muziki
sio vizuri kuandika matusi jukwaani. jirekebishe mkuu.
 
Uwezo wako wa kufikiri unaenda sambamba na udogo wa masaburiyo
very true, mwanaume mwenye masaburi makubwa ni Dr. Masaburi tu ambaye ni mwanachama muhimu sana kwenu wa CCM (yaani chama cha masaburi)

Vipi, dada alishamaliza lile soo lenu?
 


mh haya kwa hiyo ndo kamuuua shehe yahya au?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…