acha wehu wako kama hauna cha kuongea siunyamaze,mi juzi tu nimekataliwa kwa mtoto mzuri kwa sababu ya pumba zakoHabari zinasema mwanaume ni mkurya lakini mwanamke sio inamaana naye karithishwa ukurya eeh
acha wehu wako kama hauna cha kuongea siunyamaze,mi juzi tu nimekataliwa kwa mtoto mzuri kwa sababu ya pumba zako
sitaki utani halllloooooooooooooo
Kweli mapenzi ni upofu!Tatizo liko hapo maana hata kile kipigo nacho inawezekana dada wa watu kimkolea ile mbaya
Bahati mbaya ni kwamba kama asingekuwa anataka angeshaachana na mshikaji lakini mwanamke mwenyewe kakolea mbaya. Nasikia akishauriwa aachane na jamaa kesho anamwambia na wote wawili wanakuanzishia bifu so wamemuacha kama alivyoNimewahi kusikia kuwa eti wadada wa maeneo ya Musoma hasa Rorya na Tarime huwa wanapenda kupigwa kwa kisingizio kuwa kipigo kwao kinaonyesha mapenzi ya mume kwa mke!
Kwa upande wangu, naona huyo jamaa ni kama anabaka tu baada ya kipigo maana sidhani kama huyo msichana wake huwa ana hamu tena na hilo tendo.
mhhh haya bana!!!!!!!!!!!!!!Mzee sa ulitaka niseme mchaga wakati ni kweli ni POTI! But tizama mantiki ya maneno yangu, hiyo ATTITUDE ndo imekukosesha huyo mtoto mzuri
It would have been a rape kama mwanamke angekuwa hataki but according to stories it seems like she likes it and anajisifia about the how the game went spectacular!She is in love with a saddist..too bad for her. asubiri tu siku atakapouwawa kabisa. na sio kumalizia na shughuli..what that man does is rape.
Sipendi wanaume wa hivi...hawajiamini wala hawana adabu.