Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,429
Una uhakika hana matatizo ya kuhara? Kufunga hakuwezi kuzuia mtu kuhara kama tumbo limechafuka.Kuna rafiki huku job anasema kafunga ila anaenda sana msalani,kiasi tunahisi kama anapata misosi pembeni kwa kificho!madaktari kuna uwezekano ukiwa umefunga mfumo wa uzalishaji taka ukatulia au unaendelea kama kawaida!

nimecheka mpaka basi,,,,,,,,

hiyo ofisi yenu kwa umbea si mchezo lol

nimecheka mpaka basi,,,,,,,,

hiyo ofisi yenu kwa umbea si mchezo lol