Jamaa mmoja aliota amekufa, alipofika mbinguni akaambiwa ukitaka kurudi duniani uchague kurudi kama kuku au panya, jamaa akachagua kurudi kama kuku, lakini masharti kama anataka kurudi kama kuku inabidi atage yai kwanza,, basi akajaribu kusukuma mmmmmmmh!!! akahisi yai litatoka, alipoamka asubuhi jamaa akakuta kajinyea !!!!, hahahahah