maana watu wa Zanzibar kwa kula kiboga angejutaShukuru Mungu hukufumaniwa na mpenzi wako au wa huyo dada.
maana watu wa Zanzibar kwa kula kiboga angejutaShukuru Mungu hukufumaniwa na mpenzi wako au wa huyo dada.
Niltokea kufanya field maeneo ya zanzibar miez kama 6 imepta now. Nilkaa pale kwa mda wa miezi miwwil. Tulpendana na dada mmoja. Lakn nlmwambia ukwel kuwa nina mpenz wangu arusha. Tulikubaliana kuwa na uhusiano kwa kpnd hcho cha miez mitatu na ntakaporud arusha kila mtu na mambo yake. Kweli nilmalza fld, lakn kabla cjaondoka tayar alshakuwa mjamzto. Alkubali kulea. Lakn naondoka tu kapata mwanaume tena kamweka ndan na soon wakafunga ndoa. Jamaa anajua ni ya kwake na akalea mpaka mtoto kazaliwa. Mama ndo anajua ukweli. Nastaki kuulza kuhofu kuvunja ndoa takatifu. Shida ni mtoto wangu baadaye.changien kwa ustaarabu wana jf:.
Hapa akaanze kutunga hadithi ingine yupo post ya 19 na kajiunga mach safi sana Mods waipeleke jokesJamaa anapractice Ushigongo. Labda kwenye post nyingine atatoka vizuri zaidi.