Jamaa analea mtoto wangu akizan ni wake:

Kapime kile kipimo cha DNA ndipo utakaposhangaa kuwa mtoto sio wako wala wa huyo unayedai analea. Halafu huyo mchumba wa Arusha anafahamu hilo, nakuomba umwambie kuwa ulipokuwa Zenj kwa muda wa miezi mitatu ulishindwa kuvumilia, ukafanya ngono zembe na kumpachika mwanamke mimba.
 
Msicheke jamani kuna watu hawajui mimba ya binadamu huchukua miezi mingapi hadi mtoto kuzaliwa ati ala!
Toeni elimu pale inapobidi msiharakishe kujibu kwa ushabiki na kashfa jamani. Na kama amedanganywa ili atoe matumizi ndio sasa atagundua ukweli kupitia wataalamu wa JF. Namshauri aache zinaa au ajitahidi sana kutumia kondomu kila wakati, vinginevyo atazikwa mapema sana maana ukimwi wa Arusha unakula vibaya nina ndugu zangu wame R.I.P hapo Arusha kwa ajili ya kucheza pekupeku na wameacha utajiri mkubwa unaliwa na wasiojua uchungu wa kutafuta sasa. Ukizingatia baridi ya Arusha inavyosababisha jogoo kuhitaji mtetea kila siku ni hatari kucheza peku jamani muombe Mungu akusaidie uishinde dhambi ya uasherati.
 
Miaka 19 anakubali kuwa na uhusiano na wewe kwa muda tu ukiondoka basi??? Umeuza cheni badia nawe umepewa hela bandia.
 
Kwa manufaa yako, yake na ya mtoto.
Pengine ameona kwamba we unafaa zaidi kuwa baba wa kweli wa huyo mtoto. Alafu hataki kuvuruga mahusiano yenu kwa namna yoyote ile. That way. . .Wewe unapata kuwa baba na kuendelea na mwanamke wako unaempenda, mtoto analelewa na mwanaume ambae anampenda mtoto na mama ameridhika nae, mama anapata kuwa karibu na mtoto pia mwanaume anaempenda bila kuchanganya mambo.

Insecurity as usual...we don't like to face the truth ingawa ukweli ndo unatuweka kuwa huru zaidi. Itakuwaje kama nikijua mtoto sio wangu? I will not hate the innocent kid....
 
Niltokea kufanya field maeneo ya zanzibar miez kama 6 imepta now. Nilkaa pale kwa mda wa miezi miwwil. Tulpendana na dada mmoja. Lakn nlmwambia ukwel kuwa nina mpenz wangu arusha. Tulikubaliana kuwa na uhusiano kwa kpnd hcho cha miez mitatu na ntakaporud arusha kila mtu na mambo yake. Kweli nilmalza fld, lakn kabla cjaondoka tayar alshakuwa mjamzto. Alkubali kulea. Lakn naondoka tu kapata mwanaume tena kamweka ndan na soon wakafunga ndoa. Jamaa anajua ni ya kwake na akalea mpaka mtoto kazaliwa. Mama ndo anajua ukweli. Nastaki kuulza kuhofu kuvunja ndoa takatifu. Shida ni mtoto wangu baadaye.changien kwa ustaarabu wana jf:.

Modelling inaonyesha ulikuwa unapata penzi la binti mjamzito.

Uliingizwa kingi kijana, binti alikuwa na wake mchuchu kitambo. Shukuru Mungu hukufumaniwa na mpenzi wako au wa huyo dada.
 
Aiseeee...nikija kugundua ntamwagia ile kemikali.

Hahahahah. . . Ngoja nianzishe thread ya kukanya hii tabia.

Swali: Akiwa muwazi akakwambia ukweli unaweza ukawa tayari kuendelea na mahusiano yenu kama mlivyokua mmepanga awali?
 
Ndyo alikuwa bikra ndo maana naamini. Alikuwa na miaka kama 19 hv by then.
bikra zanzibar miaka 19??umeliwa,bikra ya nyuma walikua washaitoa hiyo mkuu,kuhusu mtoto jipange labda baada ya hapo utaanza kuombwa hela ya matumizi bila kumuona mtoto,siku ukija stuka umeliwa mara mbili(street university/com)
 
Insecurity as usual...we don't like to face the truth ingawa ukweli ndo unatuweka kuwa huru zaidi. Itakuwaje kama nikijua mtoto sio wangu? I will not hate the innocent kid....
Yes the truth is good but it's kinda hard to face it when you don't know what will come out of it. Wapo ambao hua wanatamani kusema ukweli night and day ila wanaogopa kupoteza watu ambao ni muhimu kwao kwa kushindwa kujua watareact vipi.
 
Hahahahah. . . Ngoja nianzishe thread ya kukanya hii tabia.

Swali: Akiwa muwazi akakwambia ukweli unaweza ukawa tayari kuendelea na mahusiano yenu kama mlivyokua mmepanga awali?

Binafsi hakuna kitu ninachokipenda zaidi ya uwazi na ukweli. Mtu anapokuwa mkweli kwangu najisikia kuheshimiwa. So no problemo at all if she were to come clean....though the sooner the better.
 
Binafsi hakuna kitu ninachokipenda zaidi ya uwazi na ukweli. Mtu anapokuwa mkweli kwangu najisikia kuheshimiwa. So no problemo at all if she were to come clean....though the sooner the better.

Well kama mtu anakujua vizuri kiasi cha kuelewa wewe ni mtu wa aina gani then I guess inakua rahisi zaidi yeye kufanya maamuzi ya busara. Tatizo ni kwamba wengi hawawajui wenzi wao vizuri. . . .
 
Niltokea kufanya field maeneo ya zanzibar miez kama 6 imepta now. Nilkaa pale kwa mda wa miezi miwwil. Tulpendana na dada mmoja. Lakn nlmwambia ukwel kuwa nina mpenz wangu arusha. Tulikubaliana kuwa na uhusiano kwa kpnd hcho cha miez mitatu na ntakaporud arusha kila mtu na mambo yake. Kweli nilmalza fld, lakn kabla cjaondoka tayar alshakuwa mjamzto. Alkubali kulea. Lakn naondoka tu kapata mwanaume tena kamweka ndan na soon wakafunga ndoa. Jamaa anajua ni ya kwake na akalea mpaka mtoto kazaliwa. Mama ndo anajua ukweli. Nastaki kuulza kuhofu kuvunja ndoa takatifu. Shida ni mtoto wangu baadaye.changien kwa ustaarabu wana jf:.

Wewe huna haja ya kuuliza wala kuomba ushauri..

Kama ulithubutu kumsaliti mchumba wako,hata huyo mtoto lazima nikushangae unavyomuulizia.. Na huyo mwanamke alizaa mtoto wake,si wako.. We hoja yako ni mbegu ulizomwaga..?
Ubaba si mbegu tu... Nyie ndiyo mnaotuangusha wanaume tunaonekana si waaminifu..
 
Niltokea kufanya field maeneo ya zanzibar miez kama 6 imepta now. Nilkaa pale kwa mda wa miezi miwwil. Tulpendana na dada mmoja. Lakn nlmwambia ukwel kuwa nina mpenz wangu arusha. Tulikubaliana kuwa na uhusiano kwa kpnd hcho cha miez mitatu na ntakaporud arusha kila mtu na mambo yake. Kweli nilmalza fld, lakn kabla cjaondoka tayar alshakuwa mjamzto. Alkubali kulea. Lakn naondoka tu kapata mwanaume tena kamweka ndan na soon wakafunga ndoa. Jamaa anajua ni ya kwake na akalea mpaka mtoto kazaliwa. Mama ndo anajua ukweli. Nastaki kuulza kuhofu kuvunja ndoa takatifu. Shida ni mtoto wangu baadaye.changien kwa ustaarabu wana jf:.

Wana Jamii Forums wenzangu tusim'bane sana huyu jamaa kwenye mathematics ya hiyo miezi kwani yawezekana amekosea kueleza vizuri,mimi nachopenda kumwambia huyu kijana ni kwamba aachane na habari za kujigamba hapa mtoto ni wa kwake,kwani ki ukweli mama peke yake ndiye hasa anayejua baba wa mtoto na akiendelea kupiga kelele hizi anaweza kushangaa likamgeukia na kesho akajua hata dingi aliyemlea yeye hakuwa baba yake mzazi
 
Mbuzi miezi 6, na anaingilika kwa udhalimu, kwanza mwambie huyo aingie kwa jf
Inanikumbusha tukiwa O level msela kagonga mtoto wa mjeda aliekuwa f 2 wakati sie tupo F3, ilikuwa siku ya jmos Jumatatu dem anamwambia msela kuwa amepata mimba so ampe buku 40 akaitoe au anaenda kumwambia dingi( mjeda) kuwa ana mimba yake, jamaa bila hata kuwauliza wale waliosoma biology topic ya reprod. akachukua pesa akampa, baadae ndo akagundua aliingizwa mkenge.
 
shida ni mwanao baadae? Yaani mtu mzima unatumia neno baadae? Kwa nini isiwe sasa?

Pia unajuaje kama mimba yako?

Unajuaje labda alikuwa na huyo mwanaume muda mrefu wewe ulikuwa kidumu tu cha kubadilishana ujuzi?
 
***** huyo! bushoki yupo hii mitaa kweli atuimbie ule wmbo we2.
 
Back
Top Bottom