Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,373
Jamaa mmoja alishukiwa na Malaika toka mbinguni akaambiwa omba chochote unachotaka lakini Jirani yako yeye atapata marambili.
Kwa Mfano ukitaka PRADO Jirani yako atapata PRADO mbili nawe utapata moja.
Jamaa akafikiria kwa mda halafu akamwambia Malaika
"Nitoe jicho moja"
Kwa Mfano ukitaka PRADO Jirani yako atapata PRADO mbili nawe utapata moja.
Jamaa akafikiria kwa mda halafu akamwambia Malaika
"Nitoe jicho moja"