Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
So bahati tu hali mbaya kabisa kapishan na gari la utamu
dah ndo ilikuwa chance yake mkuuKuna stori shit unaweza kua ushaisikia.
Kuna jamaa kamfuatilia demu kwa miaka kibao sasa siku hiyo jamaa yupo kwenye daladala demu kamtext "Uko wapi nije?"
Jamaa akaandika "Nipo nyumbani njoo"
Kabla hajaituma mwizi akaipora simu akaanza kukimbia. Jamaa akatoa kichwa dirishani akaanza kumpigia mwizi kelele.
"WEWE MWIZI BONYEZA SEND, BONYEZA SEND PUMBAVU ZAKO"
Kapishana na gari la mshaharaSo bahati tu hali mbaya kabisa kapishan na gari la utamu
mkuu umefanya nimevuruga ukimia wa mahala nilipo kwa kichekoKuna stori shit unaweza kua ushaisikia.
Kuna jamaa kamfuatilia demu kwa miaka kibao sasa siku hiyo jamaa yupo kwenye daladala demu kamtext "Uko wapi nije?"
Jamaa akaandika "Nipo nyumbani njoo"
Kabla hajaituma mwizi akaipora simu akaanza kukimbia. Jamaa akatoa kichwa dirishani akaanza kumpigia mwizi kelele.
"WEWE MWIZI BONYEZA SEND, BONYEZA SEND PUMBAVU ZAKO"
Very fun!Kuna stori shit unaweza kua ushaisikia.
Kuna jamaa kamfuatilia demu kwa miaka kibao sasa siku hiyo jamaa yupo kwenye daladala demu kamtext "Uko wapi nije?"
Jamaa akaandika "Nipo nyumbani njoo"
Kabla hajaituma mwizi akaipora simu akaanza kukimbia. Jamaa akatoa kichwa dirishani akaanza kumpigia mwizi kelele.
"WEWE MWIZI BONYEZA SEND, BONYEZA SEND PUMBAVU ZAKO"
Mafuta!!!! Sio dume huyo
Mafuta!!!! Sio dume huyo