Pretty R.
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 200
- 31
Asante ngafu niliandika nikiwa nasinzia namaanisha mume wake.Mume wako? kwenye nyekundu hapo
Asante ngafu niliandika nikiwa nasinzia namaanisha mume wake.Mume wako? kwenye nyekundu hapo
Duh! Mazee unajua ile ni zaidi ya red handed! Yani mie nimefunuliwa jamaa kalala chakari, nakutana na abdala kichwa yupo kwenye mfuko wa mchuzi na mchuzi ndani, kaka unajua ni ngumu kuitetea? Ndo maana nimewaachia muda watafakari wote wawili kama wanahitaji kuishi kama mke na mume.
Na wanaume mlivyo wash..enzi nyie, hapo ukute jamaa yako hajutii kuisaliti ndoa yake.......bali anajuta kwa nini amekamatwa kizembe!!!
Haya mama, wanaume tumekusikia including aliyekuzaa kuwa sisi ni washenzi! Ningefurahi kama ungekuwa umemuona mwanaume anaejutia matendo yake wakati nyumbani mkewe kaondoka. Usichukulie jambo kirahisi namna hiyo, wanaume tupo wa aina mbalimbali.
Mfano mzuri ni hapo mnapoteteana, eti makosa ya kiufundi........mara ooh sio mzoefu eti wazoefu huwa hawakamatwi! Ni sifa uuuh??
npo nyuma ako aseeh