jamaa akutana na Mungu

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,685
Jamaa mmoja alipata nafasi ya kuongea na mungu. Jamaa akamuuliza,"Miaka millioni moja ni kama nini
kwako?" Mungu akajibu,"Dakika moja." Jamaa akauliza tena,"Na shilingi millioni moja ni
kama ngapi kwako?" Mungu akajibu,"Shilingi moja." Jamaa akamwambia Mungu,"Basi nipe shillingi
moja." Mungu akajibu,"Nitakupa...ngoja dakika moja
 
hahahah!!!!Aisee mwanadamu huwezi kumtega M/Mungu!!!!so jamaa asubri miaka milioni moja apate shilingi moja ya Mungu!
 
Nani kilaza? Unawashwa sana nshakuona mara kibao. Why you cant walk to other thread hadi kuwatafutia watu ban?

Muda unaotumia kutukana ungeutumia kutunga jokes ungeshaweza but anyway ka hutaki jokes zako za ku-copy and paste kujokiwa usiwe unazitoa but ukitoa joke ambayo ishatolewa humu humu utakuwa unachukia kila cku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…