Jamaa ahamaki ndani ya daladala!

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,801
1,191
Katika daladala mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto.Mtoto akakataa kunyonya,mama akamwambia "nyonya!,kama hautaki nampa anko anyonye"!anko ni kaka mmoja abiria aliyeketi karibu na huyo mama.Mtoto ikabidi anyonye kidogo akaacha.Mama akamtishia tena kumpa anko!
ndipo yule kaka kwa hamaki akasema "mama uwe na msimamo,unajua nimepitiliza vituo vinne kwa ajili yako,hebu kuwa mkweli!unanipa kunyonya au nishuke?
 
kwikwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Dah umetisha mbaya hivi hakuna tuzo kwa ambao wanafunika ndani ya mwaka mzima ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…