miss_mbeya
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 1,072
- 1,022
mmy nipm mm achana huyo ashaoa
Hahahaaa mkuu una sifa km za jamaa? Maana kwenye me kumi mmoja undo hbd material
mmy nipm mm achana huyo ashaoa
Ni jirani yangu maeneo ya kimara.Jamaa ameoa sema ni mchepukaji balaa.Sasa jumapili wakati tunapata moja moto moja baridi,akaniambia kuwa ameanzisha group la Whatsapp la michepuko yote aliyoipitia.
Sasa changamoto aliyonayo michepuko baada ya kugundua alichokifanya jamaa,sasa wanatafuta namba ya mkewe ili wamwambie.Sasa jamaa anahaha anajiuliza afanyaje?