Jama msaada wenu khs wapi inapatikana shule ya sec. Usevya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jama msaada wenu khs wapi inapatikana shule ya sec. Usevya!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by G spanner, Mar 29, 2012.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nimepata tu taarifa kuwa shule hii ipo mkoa wa Rukwa ila zaid ya hapo sijajua ni wilaya ipi na maeneo gani msaada plz nawasilisha.
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Unataka wilaya ya kazi gani sasa? au unaogopa kupotea?
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,058
  Likes Received: 3,085
  Trophy Points: 280
  Kuna shule inaitwa Isevya iko Tabora mjini sasa sielewi kama ulikuwa unamaanisha hiyo ama vipi?
   
 4. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hapana hii ni tofauti na hyo yenyenye inaitwa usevya!
   
 5. Fungo N.

  Fungo N. JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ipo mkoa mpya wa katavi,zamani mpanda maeneo karibu na ziwa rukwa.
   
 6. cZg

  cZg Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ogopa kuwa mvivu wa fikra! Umeshindwa leta hoja za msing? katafute atlas, n' nidalili tunapaswa badil mtaala kama umefika hapo hata raman ya nchi yako hauijui? Pole......
   
 7. +255

  +255 JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,909
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Kumbe siku hizi kuna Atlas zinaonyesha hadi shule zilipo..! Au ndo kujifanya unajua sana?
   
 8. Triple G

  Triple G JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Tabora,fatilia huko.
   
 9. cZg

  cZg Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Haya bwa shekhe! Ukifika Mpanda uliza usafir wa Usevya utafika na mtima wako utatuzya
   
 10. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ashante sana nashkuru kwa kupata maelezo mkubwa.
   
Loading...