Jam njia ya Morogoro to mbeya

Jam njia ya Morogoro to mbeya

iPhone 5S

Senior Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
158
Reaction score
102
ImageUploadedByJamiiForums1408951216.764431.jpgImageUploadedByJamiiForums1408951244.668746.jpgImageUploadedByJamiiForums1408951281.792870.jpg kutoka na na msafara wa jk njia ya kuelekea mbeya au songea imefungwa kwa takriban saa 1 sasa ! Foleni Ni kubwa sana lakini hakuna dalili za kuokoa hii kadhia kwa wasafiri Hawa walio choka hapa njiani.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa nini asiendelee kutumia treni kiazi huyu....!!!
 
Angemuazima gwajma lile liholkopta haya yasingetokea,poleni sana ndugu zangu
 
Hiyo ni ya kwaida na hasa pale vigogo wanapotembelia sehemu yoyote ya kugagua maendeleo ya inchi
 
Back
Top Bottom