Jakaya M. Kikwete ZINDUKA CHADEMA wanakuondoa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jakaya M. Kikwete ZINDUKA CHADEMA wanakuondoa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyami2010, May 20, 2011.

 1. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ninaomba niwe mkweli katika hili. Nilikuwa ninampenda sana Jakaya Kikwete na bado nitaendelea kumpenda, japo mimi ni mtoto wa mkulima tena wa jembe la mkono niliyebahatika kusoma vizuri enzi hizo kwa sababu ya sera za Hayati Mwl. Nyerere - Baba wa Taifa.

  Jakaya Mrisho Kikwete ni mtu mstaarabu na muungwana sana. Hapendi kukosana sana na watu, hususani anaowafahamu. Hilo ndilo nilomtafuna kwa kasi yeye binafsi na chama chake!

  Wito wangu kwa Mh. J.K, chondechonde zinduka CHADEMA wameishaingia sebureni bado tu kuingia chumbani! Walianza pole pole na tukadhani ni kikundi cha msimu, lakini ishara na viashilia vyote vinaonyesha, CHADEMA siyo tena Chama cha Msimu. Ninaandika haya nikijua kuwa hapa jamvini wengi ni CDM, lakini sina namna yoyote ya kukutumia ujumbe wa kukushauri sababu ya itifaki yako kama Rais. Baadhi ya watu wako waliokuzunguka aidha hawakushauri vizuri au bado wana underestimate CHADEMA.

  Dr. Slaa kama kamanda mkuu wa CDM ni mtu makini, jasiri, mvumilivu na mpiganaji wa kweli. Ninampenda sana na kumuombea kwa Mungu afya njema japo sipo CDM. Ninapoandika haya ninajua ninachokisema na sina ushabeki wowote ni CDM wala CCM.

  J.K tafadhari, zinduka CHADEMA wameingia sebureni sasa wanajipanga kuingia master bedroom!
   
 2. utemi

  utemi Senior Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 167
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kiongozi!!!
  Ushauri wako kwa Jk ni sawa na tone la Maji jangwani alitaleta gharika..
   
 3. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ooooohh kishachelewa yee bado ndio anaoga watu wako sebureni watamchomoa hata huko aliko. Good umekubali ila jk hayupo anakula bata nchi zilizoandaliwa na wenzake
   
 4. Double X

  Double X Senior Member

  #4
  May 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NYAMI2010, acha usimstue tunataka tumchomea chumbani kabla hata hajavaa nguo...!!!
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Mwacheni hivyo hivyo,kwani huwa anasililiza?
   
 6. kimpango

  kimpango JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 80
  tshsssssss mwache arare asharara sana hata akiamka atakuwa na wenge tz is veryy big for ccm waachie ngazi kiukweli hata kikwete mwenyewe ni shabiki wa cdm basi tu anaona aibu kusema.
   
 7. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Double X, inauma maana wenzie CDM wako sebureni wanapanga kuingia bedroom lakini yeye kapitia dirishani yuko Windhoek.....du kaaaazi kweli kweli!!!
   
 8. F

  FUSO JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,856
  Likes Received: 2,332
  Trophy Points: 280
  kumeshakucha, avute shuka la nini? a.k.a too late
   
 9. F

  FUSO JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,856
  Likes Received: 2,332
  Trophy Points: 280
  kaka umemshauri vizuri sana lakini muda ndo umeshakwisha. Pili kaka sisi JF wengi si wana CDM kama unavyodai ila sisi ni wana CCM wafu na sasa tunaona CHADEMA ndicho chama pekee chenye kutetea maslahi yetu na tayari kina qualify kuchukua dola hata kuanzia kesho asubuhi.
   
 10. k

  kizazi kipya JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Shssssssssssssssssssssssssssss..usimstue kalala usingz wa pono atastuka nje..
   
 11. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK ni mwanaume. Amefanya kile ambacho hata nyerere alikuwa hawezi kukiruhusu wala kukivumilia. Enzi za Nyerere leo hii watu kama Slaa wangekuwa ukimbizini. Kikwete anasoma alama za nyakati. anataka kujenga Tanzania ya watu majasiri wanaoamua nani awe kiongozi wao na nani asiwe.

  Wengi sana na hasa ndani ya ccm hili linawauma sana. Wanapigwa mawe. Wanazomewa. wanafanywa chochote na wananchi, lakini Jk hana habari. Katulia tuli na Salma. Kikwete ni mwanamapinduzi kwa maana ya kuruhusu wananchi wajiamulie aina ya watu wanaotaka kuongozwa nao.

  JK nakuomba sana. Popote pale ulipo, ruhusu maandamano, ruhusu watu kuzungumza na kukusanyika, agiza vyombo vya usalama kulinda raia bila ubaguzi wa kiitikadi, waache watanzania wajikomboe wanavyotaka wao.

  CCM imejaa mizee yenye misimamo ya kinyonyaji. JK mwenyewe anajua, lakini anakosa la kufanya. Anachoona ni busara ni kunyamaza. Safi!


  Long live JK.
   
 12. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Umechemka mjomba, JK anakaa kimya sababu anajua hana jeuri kifedha anategemea hao anaowatuhumu kuwasaidia kifedha CDM.uMEFUATILIA JANA HOTUBA YA KI-HISTORIA YA bARRACK OBAMA?????? kuhusu madikteta wanaobaka demokrasia???.

  CCM kwa sasa hawana meno walitegemea mabavu sasa mtindo huo umedhibitiwa na wenye fedha.Wanakuambia ukitaka financial support basi huna budi uachie demokrasia ichukue mkondo wake.Na ndiyo CCM wanatekeleza, wanaumia lakini watafanyaje??? tajiri kasema, USA, UK.......
   
 13. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ukweli ndio huu...!
  Watanzania waliowengi hawapati access za magazeti, redio, na televisions.... na hao wachache wenye access na hivyo vitu bado wengi wao ndio wenye uwezo wa kuchambua pumba na mchele....!
  Sasa wakati CHADEMA wakitembea physically kwenda kuzungumza na wale wengi wasio na access na vyombo vya habari na pia wenye access navyo, CCM wanabaki kuwathibiti vyomba vya habari kuwa nini kitangazwe, kitangazwaje na nini kisitangazwe.....!
  Matokeo yake ni CCM kuja kujishtukia wakati mtaji wake mkubwa; watanzania maskini, wamekwisha nyakuliwa na CHADEMA....!
  CCM wamekuwa wakitumia maneno matupu, na machache yasiyo na vielelezo (mfano taarifa za ki-intelejensia), huku CHADEMA wakitumi vitendo kufikisha hisia zao kwa wanachi, na kuwashawishi ......! Kitu ambacho hata enzi za kale ilishatamkwa kuwa "Maneno matupu hayavunji mfupa".....!
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,323
  Likes Received: 19,482
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,323
  Likes Received: 19,482
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  hapa ndani wote ni ccm wafu.
  wewe mwana jamvi kama no msomi mzuri kwa nini tusiwasiliane ukaja kwetu huku tukaendeleza mapambano?
   
 16. c

  chelenje JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tena waandae na maji kabisa master bedroom ya kuoga...
   
 17. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pengine, kimya kingi kina mshindo...................

  Ninahisi, kwa jinisi J.K alivyo muungwana kama wanaotakiwa kuvua magamba wanadai yamekwama shingoni na Bunge likaendela kuwa moto, anaweza amua kuvunja Bunge na kuitisha Uchaguzi Mkuu kuliko kusubiri mambo yaharibikie mikononi mwake. Lolote lawazekana kabla ya 2015!

  Ninajua arudipo salama toka Windhoek, kwanza ataenda kuwapa pole wafiwa kwa Marehemu Sheikh Yahaya (RIP). Lakini Mh. J.K usiendelee kulala usingizi......hali si shwari kiasi cha hivyo!
   
 18. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Afadhali umeliona hilo, wacha alale maana hata kusikia kama wapo sebuleni hajasikia bado labda atuambie ni mpango wake wa kuikomboa tz
   
 19. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mbona jmk ni msikivu kwa watu amekuelewa.
   
 20. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  andika maneno aya: RAIS WA KWANZA KURHUSU MAANDAMANO YA AMANI NA RAIS WA MWISHO KUTOKA CCM ALIKUWA JK MRISHO,MTANASHATI KUTOKA MSOGA. aya yatakuwa maneno yangu katika kitabu changu nitakachokitoa mwaka 2014 mwishoni,kitaitwa 'NOW AFFRICA RISES TO DEMOCRATIC DICTATORSHIP BY Gsana.
   
Loading...