Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,505
- 51,107
Tuelimisha KadaPopulism maana yake siyo sifa, acha kujiokotea maneno ambayo wala hauelewi maana yake, ungeacha tu neno sifa peke yake, kwa maana,,populism“ ina maana nyingine kabisa na wala haifit kwenye ujumbe wako, ...
Nielewavyo mimi “ populism” maana yake shauku ya kutaka kusifiwa. Itapendeza kama utatueleza maana tofauti na hii.Populism maana yake siyo sifa, acha kujiokotea maneno ambayo wala hauelewi maana yake, ungeacha tu neno sifa peke yake, kwa maana,,populism“ ina maana nyingine kabisa na wala haifit kwenye ujumbe wako, ...
He was a Tanzanian ICON.Mkapa was a great man, may his soul continues to R.I.P
Nielewavyo mimi “ populism” maana yake shauku ya kutaka kusifiwa. Itapendeza kama utatueleza maana tofauti na hii.
Andika neno "Sifa" siyo SofaHiyo siyo maana ya populism, populism maana yake siyo sifa, unaweza usipende Sofa na bado ukawa populist na kinyume chake, ...
Aliyomaanisha JK ndiyo hiyo ya sifa,maana ametafsiri kabisa na kwa kiswahili! So alichokusudia kusema kimefika barabara!Populism maana yake siyo sifa, acha kujiokotea maneno ambayo wala hauelewi maana yake, ungeacha tu neno sifa peke yake, kwa maana,,populism“ ina maana nyingine kabisa na wala haifit kwenye ujumbe wako, ...
😁😁😁😁😁😁,JK amewafanya mjitokeze kwa rangi zenu halisi! Haya tumeshawaelewa praise team!Kwani kupenda sifa unavunja katiba au sheria??
Hiyo siyo maana ya populism, populism maana yake siyo sifa, unaweza usipende Sofa na bado ukawa populist na kinyume chake, ...
JK amewaacha uchi sana msiba huu, mnatamani asingepata fursa ya kuongea!Vyote vipo. Vya kuona na vya kusikiliza mayowe.
Kama huoni basi kereka na Mayowe, na kama unaona Unaona basi achana na Mayowe.
Uhuru ni wako.
Aliyomaanisha JK ndiyo hiyo ya sifa,maana ametafsiri kabisa na kwa kiswahili! So alichokusudia kusema kimefika barabara!