Jakaya Kikwete in Kigali

Jakaya Kikwete in Kigali

Koba

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
6,130
Reaction score
1,355
.
1425765994kikwete-rwanda.jpg

Tanzanian President Jakaya Kikwete is welcomed by Foreign Affairs Minister Louise Mushikiwabo at Kigali International Airport. (John Mbanda)

Bad news kwa Jmali na interahamwe wenzake waliojazana humu poleni sana.
 
Afadhali aende kuyatatua matatizo yake na brother wake PK ,huu ndio muda muafaka wawili hawa wakae chini na kujaribu kuweka tofauti zao sawa sawa,well done Mr JK umetuonyesha moyo wa kiafrika. Mr Murage Msherwampamba PEACE.
 
Koba

Koba, your tone seems interesting today. Nadhani ulitaka kusema amekwenda kusalimia ndugu zake huko Rwanda. You were one of supporters of the view that our president and his wife are hutus, and you were waiting to hit him at right time.

Now that he is in Kigali, hit him.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini raisi apokelewe na Waziri? Hivi ndivyo wanavyomdhihaki mshikaji bila hata yeye kung'amua.

Ila kwa sababu labda kaletewa kamama.

Kama Mr PK anafikiria anamdhihaki JK hiyo itakuwa ni shauri lake mwenyewe Jk kazowea kufanyiwa dhihaki na hajali kitu kama hicho sijui kuletewa waziri mwanamke kumpokea sana sana hiyo inakuwa ni bora kwake labda inawezekana hata huyo waziri mwanamke akaingia ktk ma line na kuishia kualikwa nayeye Dar,tena nasikia huyo waziri mwenyewe tako lake si la kikawaida na hivyo ndivyo Mr JK anavyovipenda.Hiyo inaweza ikawa ni moja ya hikma za Mr PK.Msherwampamba:canada:
 
Kwani kagame hayupo mpaka anapokelewa na minister.....duh

Kagame anamdharau sana huyu jamaa..uhuru as well anamdharau sana jk kaenda kwenye mkutano katumwa seneta wa baringo kwenda kumpokea
 
Koba

Mzee wa jenosaidi, vipi? mbona povu fasta namna hiyo?

Kwani akienda huko ndo nini? Tanzania tuna msimamo. Sera yetu kwa Rwanda iko palepale. Siyo kwamba akienda huko ndo tutabadili msimamo wetu.

Nasikia Paka ndo kamuita ili amuombe samahani.....LOL

Na bado, ataangaika sana tu.
 
Koba, your tone seems interesting today. Nadhani ulitaka kusema amekwenda kusalimia ndugu zake huko Rwanda. You were one of supporters of the view that our president and his wife are hutus, and you were waiting to hit him at right time.

Now that he is in Kigali, hit him!.

Mkuu, hivi vijamaa vinaruka ruka kama panya waliofungiwa kwenye wavu wa chuma. Huyu Koba alikuwa anamsema vibaya sana Jakaya. Leo mzee mzima kutia timu rwanda tu, anashangilia....Low thinking capacity
 
Last edited by a moderator:
Mimi huwa namkubali sana huyu boss wa wafanyakazi wa serikali nyie mnaongea yeye anafanya mazuri kwake.
 
Back
Top Bottom