Jakaya Kikwete akijadili namna ya kuboresha elimu ya dunia

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,984
11,408
Katika watu makini hapa duniani ni JK, kastaafu ndio kwanza nyota yake inazidi kung'ara. hapa yupo na Stanley Bergman na Gordon Brown wakijadili namna ya kuboresha elimu ya dunia.
kikwete.jpg
 
Katika watu makini hapa duniani ni JK, kastaafu ndio kwanza nyota yake inazidi kung'ara. hapa yupo na Stanley Bergman na Gordon Brown wakijadili namna ya kuboresha elimu ya dunia.


Rais%2BMstaafu%2BDkt.%2BJakaya%2BMrisho%2BKikwete%2Bakibadilishana%2Bmawazo%2Bna%2BMwenyekiti%2Bwa%2BKamisheni%2Bna%2BWaziri%2BMkuu%2BMstaafu%2Bwa%2BUingereza%2BMheshimiwa%2BGordon%2BBrown%2Bna%2BKamishna%2Bmwenzake%2BBw.%2BAnthony%2BLake%252C%2BMkurugenzi%2BMkuu%2Bwa%2BUNICEF.jpg
I hope you are just being sarcastic because even an iniota of common sense should tell you that he's among the worse leaders the continent of Africa have had since the beginning of the 21st century.
 
Unavyowaza na unavyo mjua JK si kama umjuavyo wewe kwa uwezo mfupi wa mawazo ulonao mkuu.
Huo uwezo alionao kwa kipindi cha miaka 10 aliyokuwa rais ameipeleka wapi elimu yetu au na wewe ni mnufaika wa Div.5 alizo zi create?! Kama anaweza kufanya kazi za kimataifa angebaki kuwa waziri wa mambo ya nje na si rais wa kwetu, kafeli hata kuongoza nchi nzima wala si elimu tu... Rais wa hovyo kupata kutokea Tanzania.
 
Anaweza kujadili kuboresha elimu ya dunia wakati yeye mwenye ameshindwa kuboresha elimu ya nyumbani kwake...TZ
 
Mzee marufu buana .ya nchi yake aliyashindwa sasa ya dunia atayaweza kweli?
 
Back
Top Bottom