Jaji Werema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaji Werema

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by CHUAKACHARA, Aug 4, 2011.

 1. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Jaji Werema mbona unatia mashaka na professionalism yako. Leo umejibu swali na Tundu Lissu (kuhusu mamlaka ya kuhamisha fedha bila mamlaka ya bunge) kama hakimu wa mahakama ya Mwanzo, and not as a judge. Acha U-CCM, unaiaibisha taaluma ya sheria na majaji. kama majaji wako hivi, basi tumekwisha. Nadhani wengi walikosa haki kwa kesi zilizopitia kwako. It is a pity!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 2. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Werema ni Kilaza sana na takwimu zinaonyesha kesi nyingi sana amekuwa akihukumu sivyo. mi wala simuiti tena jaji ni hakimu wa mahakama ya mwanzo tena ya kawe
   
 3. B

  Byarwazi New Member

  #3
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naamini hayo ni ya kweli kwani hata maoni yake kuhusu sheria ianayoruhusu maandamano yanatia mashaka.
   
Loading...