William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
William,
Hii Tanzania si ya Malecela wala mgogo yoyote. Wewe ngoja chama cha baba yako kitakapoondolewa madarakani ndipo utakapojua ni kwa jinsi gani watu tunavyokutamani tukugawane huku nje! Hii Tanzania si ya mwaka 47! Watanzania wa leo tumeshawajua adui zetu ni akina nani.
Nyie mtabakia na sapoti ya hao hao wahamiaji haramu ambao wanawasapoti kwa kuwa wanajua ndio nguzo yao ya kuwafanya waendelee kuwepo nchini pasipo uhalali. Na nyie muendelee kuwaua ndugu zetu na biashara yenu ya Unga.
Huwa mimi nashindwa kukuelewa wewe ... hivi huu utaifa unaoongelea wewe ni utaifa kweli ama unamaanisha familia yako? maana wewe kinachopingana na ccm kila wakati wewe unakipinga hata kuangalia manufaa mapana kwa nchi yako ... hebu kuwa mzalendo wewe ... kwanza nadhan wewe ni mhamiaji haramu masalia ambae unajikomba kwa ccm ili ikulinde ... unaudhi mkuuWarioba hatoshi.
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.
- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.
Le Mutuz

"Moja ya kazi za kisheria za Tume ni kutoa elimu kwa umma, na ni kazi ya wakati wote," anaelezwa kusema Jaji Warioba wakati akijibu swali la mwandishi mmoja kutoka Star TV aliyeongozana na baadhi ya waandishi wengine kutoka ITV, Channel Ten na Clouds FM.
we unatosha.........silly
- Sheria ipo wazi kwamba majority bungeni ndio wenye uamuzi wa mwisho wa marekebisho ya sheria ya jamhuri, CCM ndio tuna majority bungeni kwa hiyo sio Warioba, wala Chadema au CUF wenye uamuzi wa mwisho mnaweza kuitukana as much as you can lakini Sheria ni msumeno Warioba hana mamlaka kisheria kutuamulia katiba, ni vyema akajizulu tume sasa ili apate nafasi ya kutoa maoni yake kama raia.
Le Mutuz
ninaheshimu na kuikubali kazi nzuri Jaji Warioba anayofanya kwenye mchakato wakatiba....... nilisema kwa yule alietoa tetesi za Warioba kujiuzulu kwamba mimi ni, na, nitaendelea kuwa Tomaso hadi siku atapofanya kwel. Anapojitetea ccm haijamtaka ajiuzulu kwani huyo Bulembo ni nan? Au alitaka nan kutoka ccm atamke ndio aelewe? Kukwepa hizi dharau na kadhia anazopata mi naona heri achukue uamuz mgumu mapema kabla hawajamuaibisha.
Mnautumia wingi wenu kwa maslahi binafsi na sio ya taifa ... soon mtajutia kuwa angalau mngeutumia wingi huo kuboresha katiba na maslahi ya watz maana soon mtakuwa wapinzani na mtailalamikia katiba mbovu mnayotaka kuitengeneza ... nyie ni rehema za Mungu tu kuwa Mungu huwanyeshea mvua waovu na wema ila hamko kabisa kwa maslahi ya watz ila kwa maslahi yenu binafsi ... mnasahau kuwa cheo ni dhamana na ya kuwa Mungu ndie mwenye kuweka serikali na mwenye kuiondosha ... mngekuwa na busara mngejirudi na kutizama maslahi mapana ya watz mil 45 wengi wao wanapata shida ya kupata chakula ngaa mlo mmoja ili hali nyie mnaponda raha na rasilimali za nchi ... Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha- Sheria ipo wazi kwamba majority bungeni ndio wenye uamuzi wa mwisho wa marekebisho ya sheria ya jamhuri, CCM ndio tuna majority bungeni kwa hiyo sio Warioba, wala Chadema au CUF wenye uamuzi wa mwisho mnaweza kuitukana as much as you can lakini Sheria ni msumeno Warioba hana mamlaka kisheria kutuamulia katiba, ni vyema akajizulu tume sasa ili apate nafasi ya kutoa maoni yake kama raia.
Le Mutuz
- tunaishi kwa Sheria sio kanuni, Sheria ipo wazi Warioba hana mamalaka ya kuwaamulia wananchi Katiba, ila anayo mamalaka ya kukusanya maoni yao na kuyaandika chini, Warioba hana mamlaka yoyote kikattiba ya kuwaambia eti Viongozi wa Saisa wakae chini kujadili tena Rasimu, Rasimu imeshaenda Bungeni imepitishwa na Wabunge wa Chadema na CCM, sasa inasubiri saini ya Rais iwe Muswaada na kujadiliwa na Wabunge,
- Labda nikukumbushe historia kidogo, kule USA ni Republicans ndio walioamua kupunguza mafao ya Marais wao kwa sababu ya wingi wao bungeni, na ni wao ndio walioamua kupunguza malipo ya welfare ya wananchi wao bila kujali uchache wa Democrats bungeni kwa sababu Sheria inasema ni majority ndio wenye uamuzi wa mwisho wa marekebisho ya sheria, CCM ndio wenye mamlaka ya mwisho kisheria ya jamhuri kuamua katiba mpya iweje sio Warioba na Chadema.
Le Mutuz
Tz sio ya warioba, wala yy hana mamlaka ya kuwasemea watz.
Aisee hivi unaelewa tofauti ya Rasimu ya Katiba na Mswada wa unaosuburi kuwa sheria ili ku-govern uundwaji wa Bunge la Katiba? Je unajua mswada huu haujazungumzia hata utaratibu wa kura ya maoni ya rasimu ya katiba? Umechanganya sana mambo, hakuna rasimu ya katiba iliyokwisha kuwa mswada, na wala bunge la JMT halina ubavu wa kupokea na kujadili such mswada! Tafiti kidogo kabla ya kupotosha! Wewe ni mwanasiasa, nilitegemea haya uyajue vema kuliko mtu kama mimi ambaye ni lay man!
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.
- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.
Le Mutuz
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.
- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.
Le Mutuz
Warioba anazungumzia maoni ya wananchi ambao wanataka serikali 3 nyie ccm mpo wachache kuliko wananchi.