Jaji Tendwa: Nitaifuta CHADEMA lakini CCM siwezi...

Jaji Tendwa: Nitaifuta CHADEMA lakini CCM siwezi...

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Posts
10,565
Reaction score
7,993
Akizungumza katika kipindi cha Hot Mix cha East Africa Television akijibu swali la mtangazaji wa kipindi Adrian Stepp, msajili wa vyama vya siasa nchini amedai kuwa ikibainika kuwa CHADEMA ndio waliohusika katika kulipua bomu katika mkutano wao wa 15/06/2013 atakifuta.

Alipoulizwa kama itathibitika kuwa CCM ndio walihusika kulipua bomu hilo amedai kuwa hawezi kukifuta kwakuwa kwa kufanya hivyo itakuwa ni kufanya mapinduzi ya kalamu. Kwamba CCM ikifutwa nchi itaparaganyika na kusababisha jeshi kuchukua nchi.

MY TAKE:
Hii ni dalili ya wazi ya msajili kuwa na double standards katika maamuzi yake juu ya vyama vya siasa, na hii inathibitisha madai ya muda mrefu kuwa amekuwa akifanya kazi kwa kuipendelea CCM. Kama angekuwa hafanyi kazi kwa kupendelea na kulipa fadhila basi angekuwa tayari kukifuta chama chochote kitakachobainika kulipua bomu katika mkutano wa CHADEMA Arusha.
 
labda ndivyo alivyoagizwa na waliomuajiri.atamke hivyo ili kuchimba mkwara.
 
Amechelewa kwa sasa walie tu lakini kuna kitu cha kujifunza huku kuchanganyika kwa MACCM na state organs zao ni kwa sababu wanajua hawatakiwi na wananchi
 
Huyu nae ni mpumbavu namba tatu baada ya wale wawili wasiojijua na wanaotoa kauli za kipumbavu kwa wanancchi, wapuambavu namba nne ni Polisi
 
Ameongezewa muda? Au anasubiri huruma
 
mbona anabana pua hivyo au ndio alivyo?
 
Akizungumza katika kipindi cha Hot Mix cha East Africa Television akijibu swali la mtangazaji wa kipindi Adrian Stepp, msajili wa vyama vya siasa nchini amedai kuwa ikibainika kuwa Chadema ndio waliohusika katika kulipua bomu katika mkutano wao wa 15/06/2013 atakifuta.

Alipoulizwa kama itathibitika kuwa ccm ndio walihusika kulipua bomu hilo amedai kuwa hawezi kukifuta kwakuwa kwa kufanya hivyo itakuwa ni kufanya mapinduzi ya kalamu. Kwamba ccm ikifutwa nchi itaparaganyika na kusababisha jeshi kuchukua nchi.

MY TAKE:
Hii ni dalili ya wazi ya msajili kuwa na double standards katika maamuzi yake juu ya vyama vya siasa, na hii inathibitisha madai ya muda mrefu kuwa amekuwa akifanya kazi kwa kuipendelea ccm. Kama angekuwa hafanyi kazi kwa kupendelea na kulipa fadhila basi angekuwa tayari kukifuta chama chochote kitakachobainika kulipua bomu katika mkutano wa Chadema Arusha.

You are right. The rules must be the same to all.
 
Mzee Tendwa anadai mara ngapi chadema wamekosea lakini hawajakifuta je, CCM haijakosea??
 
Akizungumza katika kipindi cha Hot Mix cha East Africa Television akijibu swali la mtangazaji wa kipindi Adrian Stepp, msajili wa vyama vya siasa nchini amedai kuwa ikibainika kuwa Chadema ndio waliohusika katika kulipua bomu katika mkutano wao wa 15/06/2013 atakifuta.

Alipoulizwa kama itathibitika kuwa ccm ndio walihusika kulipua bomu hilo amedai kuwa hawezi kukifuta kwakuwa kwa kufanya hivyo itakuwa ni kufanya mapinduzi ya kalamu. Kwamba ccm ikifutwa nchi itaparaganyika na kusababisha jeshi kuchukua nchi.

MY TAKE:
Hii ni dalili ya wazi ya msajili kuwa na double standards katika maamuzi yake juu ya vyama vya siasa, na hii inathibitisha madai ya muda mrefu kuwa amekuwa akifanya kazi kwa kuipendelea ccm. Kama angekuwa hafanyi kazi kwa kupendelea na kulipa fadhila basi angekuwa tayari kukifuta chama chochote kitakachobainika kulipua bomu katika mkutano wa Chadema Arusha.
Itoshe kusema neno moja tu: MAJANGA
 
Tendwa ukithubutu kufanya huo upumbavu wako......Labda ulindwe masaa 24 na hao mabwana zako na haitawezekana pia.We are fed up with your stupidity man!!?
 
Huyu mzee akalee vijukuu vyake anafanya kazi mithili ya Anne Ma-Kinda
 
Hata sisi tumewachoka hawa viumbe wanaoitwa viongozi, ni bora wafe wote tuanze upya hawana hata faida na sisi, ni majambazi na wapumbavu wasiokuwa na akili za kimaendeleo
 
Back
Top Bottom