Jaji Samatta awalipua Polisi

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
0
He was the finest CJ after Nyalali. Nyie mnaosema alikuwa wapi wakati akiwa CJ kukemea polisi nadhani hamjui chochote. You are just a bunch of sillies. Hawezi CJ akiwa bado madarakani akaanza kupambana na polisi!

Haiwezekani kabisa, ethics haziruhusu maana ataonekana anatake sides hasa kunapokuwapo kesi mbele yake. Majaji hawa wanatakiwa watembee on lonely paths. Si vizuri kwa jaji kuwa outspoken hasa dhidi ya law enforcers.

Mnaomponda hamjui chochotee.
 

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
0
Tatizo langu kuu ni "UNAFIKI" wa hivi vizee,vikiwa kwenye system vipofu, vikitoka vinakuwa na macho matatu.Fikiria kama angekuwa amepewa "mfupa" baada ya kustaafu, kama angesema hayo ambayo amesema.
Wewe kweli ni CCM original -- vichwa vya nazi. ukiwa na wadhifa kama CJ hupaswi kucomment hovyo hovyo katika masuala ya siasa, nk.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom