Jaji Ramadhani: Nitatema nyongo baada ya Uchaguzi


Long time no see you....
 
Asitishie kuj⭐mb⭐ wakati anaendesha Kama vp funguka sasa.
 

Heri ya huyu Jaji kuliko kapi lenu Lowassa ambalo saa hizi ndiyo linajifanya lina uchungu na watanzania kisa lilikatwa na ccm.Ni mbinafsi,mnafiki na hana uzalendo kwa nchi yake.Taifa lilipofanyiwa ufisadi kisha yeye kuamua kujiuzulu na kukaa kimya ni usaliti mkubwa kwa watanzania.Malipo ya kufanya hivyo alitaka apewe Urais.What he cares ni madaraka na si watanzania.Tungemuelewa sana kama baada ya kashfa ile angejiuzulu na kuhama chama kwenda kupigania ukombozi mahali pengine.Badala yake akaanza harakati za usaliti ndani ya chama ili kutimiza malengo yake binafsi.Pigeni kelele tu humu sababu thamani yenu ni bilioni 10 but wananchi wametulia tulii sababu wanajua ni mtu ambaye hafai na tayari Rais wao wanaye mioyoni mwao.M4C,maandamano mpaka damu za watu kumwagika,migomo na vurugu bungeni kumbe thamani yake ni bilioni 10 tu
 
Wange mrudishia hela yake ya fomu na ghalama alizotumia kutafuta wadhamini angalau. Pia hizi fomu za "kujiunga" TRA huwa wanapewa 10pcnt yao?
 
CCM imemdhalilisha sana huyu Jaji, yaani Makamba na Membe waliofungiwa kufanya siasa kwa mwaka mmoja ndio wenye maadili kumshinda huyu Jaji? Kweli CCM kiboko!

achilia mbali jaji,yaani makamu wa rais na waziri mkuu nao hawana maadili
 
Jaji aweke u CCM wake pembeni atemenyongo mapema ili itusaidie watanzania kupata kiongozi bora kutoka kwenye chama bora.
 
Lakini huyu Jaji ndiye aliyetoa hukumu ya kukataa mgombea binafsi kwa kuipendelea ccm na serikali yake. Leo anataka kutwambia nini? Alichokilinda kiovu kimembgeuka maana hakusimamia ukweli!
 
walioitwa kwa kubembelezwa wakawa makapi? hakika ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno!!
 

CHENGE simsikii mkamtaja kama fisadi coz yupo kwenu gambaz ila akihamia upinzani leo hii mtasikia kila aina ya neno kama ambavyo mnafanya kwa lowassa now...CCM kifo kipo palepale tuuuuuu haikwepeki
 
Ni sawa na kununua sanda baada ya mazishi...

Akitema nyongo baada ya.uchaguzi nitamuita mnafiki,halafu kwenye katiba alikaa kimya,huku kwenye siasa yupo kimya,huyu mtu atatumika hadi dakika ya mwisho
 
CCM imemdhalilisha sana huyu Jaji, yaani Makamba na Membe waliofungiwa kufanya siasa kwa mwaka mmoja ndio wenye maadili kumshinda huyu Jaji? Kweli CCM kiboko!
Huyo Judge mwehu tu amekalia unafiki tu! Tangu alipozinguwa mgombea binafsi, nilimwona ni mnyinyiemu,
yamoyoni yepi hayo yatakayobadilisha upepo? Na umwambie kabisa ya Kaisari ampe Kaisari na ya Mungu ampe Mungu na ya Pilato amwachie Pilato! Judge mbabaishaji tu huyo! Hakumwona yule mwenzie kihereni wa Kenya?
 
Magamba wana laana ya ibilisi.
 


piga kelele tu lakini wanachi hao unaowasema wamekaa kimya ndiyo sisi hapa.tangu lowasa aliposema kilichotokea kwenye richmond si chama wala serikali ambayo imeshakuja kukanusha.unajua nini mkuu,sisi wananchi siku hizi tumeshajitambua,siyo misukule yenu tena.mlituaminisha lowasa fisadi lakini Mungu hamfichi mnafiki,hatimaye ukweli umejulikana,mmekaa kimya mnadhani mtaendelea kutuaminisha hivyo.tumeshajua adui yetu ni nani,nchi haiendi kisa hela zinapigwa na wapigaji tumeshawajua ni "mamlaka za juu" hivi unadhani adui yetu ni lowasa tena?hapana ni mamlaka za juu.CAG afanye uchunguzi aseme kweli kwenye escrow kuna fedha za umma,kuna mapungufu makubwa,lakini "mamlaka za juu" zinakuja na kusema pale mnazi mmoja fedha zilikuwa za singasinga.CAG achunguze,kamati ya bunge ichunguze,suala lijadiliwe bungeni na baadhi ya watu ikawagharimu nafasi zao,prof muhongo na mama tibaijuka,lakini huyo huyo aliyewawajibisha anasema pesa siyo za serikali.sasa kulikuwa na haja gani bunge kujadili na hata watu kuchukuliwa hatua kwa kujiuzuru kwa hela za mtu binafsi?leo hii watu wanahojiwa kwenye kamati ya maadili,watahojiwaje kwa ajili ya hela za mtu binafsi?mkuu hivi unadhani hatujitambui tena?hivi unadhani siye misukule?hivi unadhani tumerogwa?hivi unadhani siye wajingawajinga vile?si bora hiyo bil 10 kuliko hayo marichmond,maepa,maescrow,makagoda,mameremeta nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…