OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,242
- 103,943
CCM inaweza kukuvua nguo mda wowote.Namuonea huruma sana Jaji tena haitoshi kaitwa KAPICCM imemdhalilisha sana huyu Jaji, yaani Makamba na Membe waliofungiwa kufanya siasa kwa mwaka mmoja ndio wenye maadili kumshinda huyu Jaji? Kweli CCM kiboko!
Kapi ni lowasa mwenye record ya kukataliwa ndani ya ccm, hana maadili ya kuendelea kubaki huko. Chama cha mapinduzi hakikuwa na muda wa kushughulika na wauuni. Kama mtu ni muhuni ataondoka wale ambao watakubaliana na mambo kwa maana ya kujua uongozi ni nini watabaki ccm nao ndio hakina Jaji Augustino
Maliza kumsafisha fisadi lowassa ndo uhamie kwa ccmAliyekuwa mgombea urais CCM na kukatwa kwa madai kuwa hana maadili(Alikatwa na Kamati ya Maadili) amenukuliwa kuwa atasema ya moyoni baada ya uchaguzi.Hofu yake ni kuwa akisema leo atabadilisha upepo wa urais kabisa.Ikumbukwe kuwa Mh.Kinana alisisitiza kuwa waliokatwa ni makapi,hivyo hawatishiki nao.Hii ni wazi kuwa hakuridhika kwa maana angeridhika isingekuwa tabu kufagilia mchakato wa chama chake.
haa haa jaji ameishia tu kuitwa kapi...
CCM imemdhalilisha sana huyu Jaji, yaani Makamba na Membe waliofungiwa kufanya siasa kwa mwaka mmoja ndio wenye maadili kumshinda huyu Jaji? Kweli CCM kiboko!
Maliza kumsafisha fisadi lowassa ndo uhamie kwa ccm
wewe nawe kapi lililosalia ccm,iko siku utachujwa na kutupwa ktk mtaro wa maji machafu kwa kuwa hata akili hunaKapi ni lowasa mwenye record ya kukataliwa ndani ya ccm, hana maadili ya kuendelea kubaki huko. Chama cha mapinduzi hakikuwa na muda wa kushughulika na wauuni. Kama mtu ni muhuni ataondoka wale ambao watakubaliana na mambo kwa maana ya kujua uongozi ni nini watabaki ccm nao ndio hakina Jaji Augustino
Kapi ni lowasa mwenye record ya kukataliwa ndani ya ccm, hana maadili ya kuendelea kubaki huko. Chama cha mapinduzi hakikuwa na muda wa kushughulika na wauuni. Kama mtu ni muhuni ataondoka wale ambao watakubaliana na mambo kwa maana ya kujua uongozi ni nini watabaki ccm nao ndio hakina Jaji Augustino
ndo namsafisha ivo,kusoma hujui hata picha huoniMaliza kumsafisha fisadi lowassa ndo uhamie kwa ccm