GE2025 Jaji Mwanga kuendelea na Kesi ya CHADEMA leo Agosti 7, 2025 baada ya kukataa kijitoa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Leo, Agosti 7, 2025, Jaji Hamidu Mwanga anatarajiwa kuendelea kusikiliza Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho.

Inatarajiwa leo mahakama itasikiliza maombi yaliyowasilishwa na CHADEMA, wakiiomba itengue amri zilizotolewa awali, kufuatia hatua ya Wakili wa washtakiwa, Jebra Kambole, kuomba kujitoa kwenye shauri hilo.

Kwa mujibu wa Wakili Hekima Mwasipu, Mahakama ilitoa amri kwa kuusikiliza upande mmoja bila wateja wao kuwa na uwakilishi, hivyo wamewasilisha maombi ya kutaka amri hizo zitenguliwe.

Ikumbukwe kuwa mnamo Julai 28, 2025, Jaji Hamidu Mwanga alitupilia mbali hoja za CHADEMA zilizotaka ajiondoe kwenye shauri hilo, baada ya chama hicho kuonesha kutokuwa na imani naye katika usimamizi wa kesi hiyo. Jaji alikataa kujitoa na kueleza kuwa ataendelea kuisikiliza.

Waliowasilisha shauri hilo waliieleza Mahakama kuwa CHADEMA imekuwa ikiitenga Zanzibar katika masuala mbalimbali, ikiwemo mgawanyo wa rasilimali za chama.

Pia soma:
~
Jaji Hamidu Mwanga akataa kujitoa kwenye kesi ya CHADEMA
~ Kwanini Jaji Mwanga asikilize kesi anayolalamikiwa? Iko wapi Natural Justice?
~ CHADEMA kuomba mapitio ya uamuzi wa Jaji Mwanga
~ Ujumbe kutoka kwa Tundu Lissu: Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa CCM, anafanya kazi ya CCM
~ John Heche: Jaji Mwanga ajitoe katika kusikiliza kesi yetu, CHADEMA hatuna imani naye
 
APIGWE SHOTI YA UMEME WA MUNGU
 
Tupe update au umelala mkuu.
 
Back
Top Bottom