Jaji Mutungi: Kesi ya nyani huwezi kumpelekea ngedere ndio maana mkutano wa vyama vya siasa utaongozwa na mtu huru

This without any doubt is a mental case.

Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema mkutano wa Wadau wa siasa utafanyika tarehe 21/10/2021 na utaongozwa na mtu/taasisi huru.

Jaji Mutungi amesema ili kuepuka lawama za wale wanaomlalamikia IGP au wale wanaodhani Msajili ana makandokando fulani ndio maana wameamua mkutano huo uwe Huru.

Mutungi pia amefafanua kuwa Wadau wa siasa siyo vyama vya siasa peke yake bali ni pamoja na Waandishi wa habari, Wana harakati nk.

Chanzo: ITV habari
 
Kama Msajili anajitambua kabisa yeye si mtu huru,tumwelewe vipi kwenye maamuzi mengine?
Tunataka kujua kwanini yeye si mtu huru na upande alioegemea ni upi na kwa nin?
 
Huyo mtu huru/taasisi huru ni nani/ni ipi!?

Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema mkutano wa Wadau wa siasa utafanyika tarehe 21/10/2021 na utaongozwa na mtu/taasisi huru.

Jaji Mutungi amesema ili kuepuka lawama za wale wanaomlalamikia IGP au wale wanaodhani Msajili ana makandokando fulani ndio maana wameamua mkutano huo uwe Huru.

Mutungi pia amefafanua kuwa Wadau wa siasa siyo vyama vya siasa peke yake bali ni pamoja na Waandishi wa habari, Wana harakati nk.

Chanzo: ITV habari
 
Mutungi hadi muda huu hajui majukumu yake kama msajili wa vyama vy siasa. Hivi kuna logic gani vyama vy siasa kukutana na Siro? Wakati sheria na miongozo iko wazi?

Mutungi alitakiwa kumwambia Siro ana vunja katiba kuzuia mikutano ya vyama vya upinzani. Mbona hazuii mikutano na vikao vya Ccm??
Humtakii mema unataka afutwe kazi na boss wa ziro
 
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema mkutano wa Wadau wa siasa utafanyika tarehe 21/10/2021 na utaongozwa na mtu/taasisi huru.

Jaji Mutungi amesema ili kuepuka lawama za wale wanaomlalamikia IGP au wale wanaodhani Msajili ana makandokando fulani ndio maana wameamua mkutano huo uwe Huru.

Mutungi pia amefafanua kuwa Wadau wa siasa siyo vyama vya siasa peke yake bali ni pamoja na Waandishi wa habari, Wana harakati nk.

Chanzo: ITV habari

Pole pole dawa inawaingia:

IMG_20210829_032751_977.jpg

Wabakie kuwa wao ni ngedere wanaoletewa kesi za nyani.

Makamanda: Forum kama ni huru kweli si mbaya kwenda na kuendelea kuwananga ngedere hawa walioukiri ungedere wao wenyewe.

Hii inaweza kuwa fursa nyingine ya kuendelea kuwakaanga kwa mafuta yao wenyewe kama walivyokuwa kina Kingai na sasa tunajua wao ndiyo wasiojulikana.

Kwamba sasa tunajua nani wanaopaswa kutuonyesha walipo kina Lijenje, Ben, Azory na wote. Mungu atupe nini makamanda?

Mapendekezo: Msimamizi awe huru kweri kweri. Watu kama wale mabalozi wa mabeberu wangetufaa sana kwenye hili kama taifa.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
4.Maria Sarungi 5.Fatma Karume.

..kama itashindikana kupata msuluhishi toka nje ya nchi wanaweza kuwajaribu hawa Majaji wastaafu.

..Jaji Mkuu mstaafu Barnabas Samatta.

..Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman

..Jaji Kiongozi mstaafu Amiri Manento.

..Panahitajika msuluhishi anayejua SHERIA na KATIBA na ambaye hajawahi kuhusika ktk siasa za vyama.
 
Huo mkutano ukiongozwa na mtu huru mapendekezo yake yatafanyiwa kazi na serikali ya CCM hata kama hayatawafurahisha CCM?

Huyo mtu huru atapatikana kwa utaratibu upi? asijekuitwa huru kumbe ana kadi ya CCM mfukoni.

Kama ilivyo kwa
Wakuu wa vyombo vya usalama
Majaji
Wakuu wa mikowa, wilaya
Wakurugenzi
Nk

Wote wanamadi ya ccm
 
Huo mkutano ukiongozwa na mtu huru mapendekezo yake yatafanyiwa kazi na serikali ya CCM hata kama hayatawafurahisha CCM?

Huyo mtu huru atapatikana kwa utaratibu upi? asijekuitwa huru kumbe ana kadi ya CCM mfukoni.

Mtu huru?

Vipi mabalozi waliomsindikiza Lissu salama?

Vipi majaji wa mahakama kuu au ya rufani?

Vipi kama wanaturuhusu tupendekeze sisi mtu huru?

Vipi sote tukishirikiana kumpata mtu huru?
 
Kuna kipindi kwenye maisha nilikuwa nikisikia mtu anaitwa Jaji nilikuwa nawaza vingine kabisa!
 
Back
Top Bottom