Jaji mkuu vipi nauliza mahakama ya mafisadi bado ipo?

Othman Chande kastaafu kisheria since 01st January, amegonga 65 kamili anamsikilizia mkulu atoe tamko la uteuzi mpya au kumwongezea dirisha dogo la usajili....... Akitatuliwa kitendawili kinachomkabili atakujibu swali lako
 
Mtoa mada ujitahid kuwa unasoma sheria ya mwnendo wa makosa ya jinai (Criminal Procedures Act) na pia uisome sheria iliyoanzisha hyo mahakama na procedure za kufungua shtaka apo ndo uje

Sio kumezeshwa ujinga af unakuja humu direct kupost taka taka
 
Endelea kusubili procedure siku akili zikija kichwani mwako procedures zitakuwa ziko tayari
 
Sijui mtawepeleka huko wale wa tegeta escrow au lugumi au faru john wako wengi
 
Back
Top Bottom