Jaji Mkuu mstaafu, Othman Chande amjulia hali Tundu Lissu

Wervemarcel

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
2,390
3,293
Jaji mkuu mstaafu mtukufu Othman Chande alifanikiwa kumtembelea rais wa chama cha mawakili Tanganyika na mbunge wa singida mashariki Tundu lissu baada ya kunusurika katika shambulio la risasi mjini Dodoma siku chache zilizopita.

Pongezi kwako jaji kwa kuguswa na tukio la dunia nzima.

Huyo hapo chini akiwa na mke wa Lissu na mke wa Nassari.

"WHOEVER SHED A BLOOD OF MAN BY MAN HIS BLOOD WILL BE SHED " Genesis 9.

683161fa01dd8313cf1f6791866a9032.jpg
 
Jaji Mkuu Mstaafu Mtukufu Othman Chande Alifanikiwa Kumtembelea Rais Wa Chama Cha Mawakili Tanganyika Na Mbunge Wa Singida Mashariki
Tundu Lissu Baada Ya Kunusurika Katika Shambulio la Risasi Mjini Dodoma Siku Chache Zilizopita.

Pongezi Kwako Jaji Kwa Kuguswa
Na Tukio La Dunia Nzima.

Huyo Hapo Chini Akiwa Na Mke Wa
Lissu Na Nassari.

683161fa01dd8313cf1f6791866a9032.jpg
Mbona Nasari simwoni hapo au ulimaanisha mkewe?!!!
 
Intelijensia ya cdm ikae vizuri, iwaangalie hao wanaokwenda kumuangalisu maana kuna uwezekano mkubwa wazee wa kazi wakafanya yasiyojulikana ikawa habari nyingine!
Ameanza Nyalandu, amefuata huyu jaji, sasa hivi bashite na yeye akifunga safari kwenda kumuona vipi...
 
Ni jambo jema, lakini umakini uongezwe kwenye ulinzi, wasimwamini mtu, hata kama ni nani. Kwakweli simwamwini yeyote kutoka Tanzania anayeenda kumjulia hali Lissu, maana ni ngumu kujua ni yupi atatumwa kwenda kufanya unyama.

Nasema tena kuweni makini sana, wanaweza kutumia huo mwanya kutekeleza lengo lao.

Natamani wasitishe hili suala la kwenda kumjulia hali, hawa jamaa wanàmuwinda kwa namna yoyote wammalizie.

Eeh Mungu mwenye uweza wote, mlinde Tuñdu Lissu dhidi ya wote wenye nia ya kumuangamiza, waangamie wao kabla hawajamfikia.
 
Intelijensia ya cdm ikae vizuri, iwaangalie hao wanaokwenda kumuangalisu maana kuna uwezekano mkubwa wazee wa kazi wakafanya yasiyojulikana ikawa habari nyingine!
Ameanza Nyalandu, amefuata huyu jaji, sasa hivi bashite na yeye akifunga safari kwenda kumuona vipi...
Ni Kweli Unaloongea
Wanabidi Wamuone
Kwenye Vioo Tu!
 
Back
Top Bottom