VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,006
Kumekucha watanzania na wapenda haki.Jaji Mkuu wa Tanzania,Mheshimiwa Mohamed Chande Othman tayari amewasili jijini Arusha kwa ajili ya kusikiliza rufaa ya Mh.Godbless Lema. Jaji Mkuu,katika jopo la Rufaa,atakuwa na Majaji Massati(wa Zombe) na Kimario. Rufaa ya Mh.Lema imepangwa kuanza kusikilizwa kuanzia tarehe 20/9/2012 katika Mahakama ya Rufaa kituo cha Arusha.
Hii inafuatia kuwasilishwa kwa hoja za rufaa na pande za kesi husika kimaandishi(written submissions) kama inavyotakiwa na Kanuni za Mahakama ya Rufaa,2009(kanuni ya 106). Arusha wanahitaji Mbunge.Walimchagua Lema na bado wanamhitaji.Wanaisubiri Mahakama ya Rufaa kuamua.
Zombe hakuuwa Fact, pelekeni aliyeuwa amuhukumu.nimepatwa na wasi wasi.........
Next to Impossible, tarehe 20 mwili wa baba yake ndio unaagwa Tegeta Dar kuelekea Singida na kuzika ni Jumamosi, kama Rufaa itasikilizwa mfulululizo Lisu ni wa kumtegemea kuanzia Jumatatu. ila Wanasheria wenyewe wanajuwa namna ya kuendesha mambo yao. Lisu he know how to handle those matters.Vipi kuhusu Tundu Lisu kufiwa na baba yake?? Ataweza kweli kuwepo kwenye shauri hiyo siku??
Arusha ilikuwa shwari baada ya huyu mwehu kupigwa chini,sala zetu zote ni kuhakikisha hoja zake zote zinatupiliwa mbali ili amani ya bwana iendelee kudumu.. Ameeeeeeeeen!!!
Arusha ilikuwa shwari baada ya huyu mwehu kupigwa chini,sala zetu zote ni kuhakikisha hoja zake zote zinatupiliwa mbali ili amani ya bwana iendelee kudumu.. Ameeeeeeeeen!!!
nimepatwa na wasi wasi.........
Arusha ilikuwa shwari baada ya huyu mwehu kupigwa chini,sala zetu zote ni kuhakikisha hoja zake zote zinatupiliwa mbali ili amani ya bwana iendelee kudumu.. Ameeeeeeeeen!!!
Nina imani sana na Jaji Massati ni jaji asiyeyumbishwa ( mgombea binafsi) pia Chande, hawa ni majembe 90%, wana wa Arusha anzeni kushangilia ushindi, ila M4C itayumba...dah!