Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Jaji anasema waziri hana mamlaka ya kuvunja bodi. Nani mwenye mamlaka?. Alitaka rais ashughulikie suala lililo chini ya wizara!.
uccm inakupa upofu eti?sio kwamba hana mamlaka na bodi.anayomamlaka hata ya kuivunja.Lakin yeye hataki kukaa na bodi badala yake anazunguka maporini kula nyama za pori badala ya kukaa ofisini.Kigwa alikuwa mtendaji mzuri, ila kuna sehemu kajikwaa tena pakubwa ingawa yeye hajui. Kujiona yeye ndiye yeye na kutoa maagizo mpaka kwa vyombo asivyohusika navyo ili kutaka kujichukulia mamlaka, I hope very soon very soon if not soon
Kidogo ila nahisi ubongo uli shake kimtindoKwani Kigwangalla alishapona " kabisa "?
Upo jaji?
Jaji na bodi yake nzima wameongezewa miaka mitatu na Rais.Hivi hili sakata limeiishia wapi?! Hahahahaha, hakuna cha jaji au wala nini?!
ba zazi nipo, Kigwa anazingua, ile bodi aliyoivunja imeongezewa muda tena, hakyananii hii nchi mpaka tumwele jiwe nachotaka tushafika 2020Upo jaji?