Jaji Mihayo ‘ampiga shule’ Waziri Kigwangalla, adai hana mamlaka ya kuvunja bodi

Jaji anasema waziri hana mamlaka ya kuvunja bodi. Nani mwenye mamlaka?. Alitaka rais ashughulikie suala lililo chini ya wizara!.
 
Kigwa alikuwa mtendaji mzuri, ila kuna sehemu kajikwaa tena pakubwa ingawa yeye hajui. Kujiona yeye ndiye yeye na kutoa maagizo mpaka kwa vyombo asivyohusika navyo ili kutaka kujichukulia mamlaka, I hope very soon very soon if not soon
uccm inakupa upofu eti?sio kwamba hana mamlaka na bodi.anayomamlaka hata ya kuivunja.Lakin yeye hataki kukaa na bodi badala yake anazunguka maporini kula nyama za pori badala ya kukaa ofisini.
badala yake anavunja bodi ambayo hata hajui ina changamoto gani na inafanya kazi vipi!!Halafu mtu mwenye elimu kubwa kias chake unavunjaje bodi na mwenyekiti unamwacha halafu unatangaza kuvunja bodi?maana yake haelewi hata maana ya kuvunja bodi.£limu yake ni ya kuungaunga au ndo basi tena bongo bahati mbaya.??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hizo Bodi zimejaa WAZEE na MA-DINOSAUR ile mbaya!
Kweli wategemea hao watu kweli watafikiria mambo ya kuboresha UTALII wetu kweli?!
Washajichokea, wako pale kula posho, chai na vitafunio tu!
Weka vijana waliosoma, hasa biashara, waitangaze nchi toka pande moja mpaka ya mwisho...
Kigwangala hana tatizo, hiyo MIZEE ndiyo tatizo MANYANG'AU wanatupiga bao kwenye kutangaza nchi yetu, LINI TUTAJIFUNZA?!:(:mad::confused:
 
Hivi hili sakata limeiishia wapi?! Hahahahaha, hakuna cha jaji au wala nini?!
 
Kuna watu Wanasumbuliwa hapa huku mioyo yao ikisulubiwa na kuteswa Sana baada ya Mambo kugeuzwa ghafla na mheshimiwa Sana Rais Magufuli!
 
Mtafuteni kigwangala huko alipo mwambieni siku zake zinahesabika ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom