Jaji Kipenka amenyanganywa msituwahifadhi alionunua nyumbani kwao KINAMPANDA SINGIDA. Msitu huu wa hekta kumi ni hifadhi ya kijiji,lakini Jaji alinunua kwa M.5 kiujanja bila wanakijiji kujulishwa na almanusura fedha ziliwe! Vijana shupavu wa Ukawa wamelibaini mapemaa! Na viongozi wameamua kurudisha hela!