Ingawa najua maana yako lkn huna tofauti na mtu atakayesema MBOWE KAMUULIZE LIPUMBA AKUPE ELIMU...Umejiona ulipo?????Pamoja na nia thabiti na nzuri ya kauli yako ya jana, Jaji NEC huandiki hukumu ambayo you are guided by evidence on record and the pertaining law.
Muulize Mafuru na Mwele Malecela watakupa mwongozo.
Nielekeze nitaileta unavyoshauriHuu mjadala mzuri sana lakin ungeketa habari vizuri mkuu hata wasiojua alichokisema tungechangia