Jaji Kaijage, NEC huandiki hukumu

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,800
2,000
Pamoja na nia thabiti na nzuri ya kauli yako ya jana, Jaji NEC huandiki hukumu ambayo you are guided by evidence on record and the pertaining law.
Muulize Mafuru na Mwele Malecela watakupa mwongozo.
 

mmmkme

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
244
250
Pamoja na nia thabiti na nzuri ya kauli yako ya jana, Jaji NEC huandiki hukumu ambayo you are guided by evidence on record and the pertaining law.
Muulize Mafuru na Mwele Malecela watakupa mwongozo.
Ingawa najua maana yako lkn huna tofauti na mtu atakayesema MBOWE KAMUULIZE LIPUMBA AKUPE ELIMU...Umejiona ulipo?????
Btw hivi kwa nn Tanzania watu wengi wako negatively minded????
Umesahau nini muda huu mfupi kuwa Lubuva ndiye alikuwa mwenyekiti NEC???? Mbona hujamwambia amuulize huyo???? Au waliomtangulia nyuma ya Lubuva ambao bado wapo had sasa????
Najua kinachokusumbua.....NI WIVU TU...UNATAKA NCHI I FAIL ILI UPATE CHA KUONGEA...NA KWA ROHO HIYO ULIYONAYO MAADAMU INATOKA UPANDE TOFAUTI NA UPANDE WA MUNGU...UTASHINDANA WEEEEE LKN HAUTASHINDA!!!!!!!
Change your mind bwana mdogo (Si kwa umri bali maono..vision ndo bado mdogo)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom