Corona itatumaliza tupate chanjo jamani. Halafu inachagua wasomi na matajiri tu, makapuku inawaruka
Kapuku atakusikia nani wewe? Wanakufa kama panzi but who cares? Halafu ndio wabishi wa chanjo sumu waliyolishwa ni hatari sana.Corona itatumaliza tupate chanjo jamani. Halafu inachagua wasomi na matajiri tu, makapuku inawaruka
Ha ha haKapuku atakusikia nani wewe? Wanakufa kama panzi but who cares? Halafu ndio wabishi wa chanjo sumu waliyolishwa ni hatari sana.
basi nihuko kwenu tuu boss...Kapuku atakusikia nani wewe? Wanakufa kama panzi but who cares? Halafu ndio wabishi wa chanjo sumu waliyolishwa ni hatari sana.
Mbona kitambo tu sheria iko pale.Hivi tangu lini Mzumbe wanafunfishwa Sheria.....!!?
Unajua Kibatala ni Zao la Mzumbe?Hivi tangu lini Mzumbe wanafunfishwa Sheria.....!!?
Kwa hiyo kuna degree ya sheria Mzumbe......!!?Unajua Kibatala ni Zao la Mzumbe?
Ndio mkuu mi nimemaliza pale mwaka janaKwa hiyo kuna degree ya sheria Mzumbe......!!?
Mh Jamani [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi tangu lini Mzumbe wanafunfishwa Sheria.....!!?