Jaji Augostino Ramadhani awakatalia CCM kugombea urais

Jaji Augostino Ramadhani awakatalia CCM kugombea urais

Status
Not open for further replies.
Lowassa amenyanyaswa sana, ameinewa sana, kila siku wanapiga fitna eti Lowassa ni FISADI wakati real really FISADI wanagawana fedha kwenye mifuko ya SANDARUSI mchana kweupe na hadi leo hakuna Action yoyote... Lowassa akikubali this time itakuwa amewakosea sana wananchi ... Tunajua kuwa Lowassa alimezea Kifo cha Sokoine, Tunajua kuwa ile Issue ya Richmond ilikuwa ni ya USA na Prezzo ... kwanini aendelee kunyanyasika? si bora ajifie tu kama walivyomfanza Mgimwa? ..
Ile clip ya dr.mahiga akihojiwa na marine hassan wa TBC1 wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ na ile ya Gen.Gemoghe naomba mutuwekee tuwasikilize wananchi tumwelewe, lowasa toa ushirikiano vinginevyo nchi itaenda na UKAWA,
 
aiseee babayangu ni kweli c c mw wamekuja huku mkuu rombo kuniomba nichukuwe form ya urais nimekataa kusema ukwel
 
Kwa wanaccm ambao hawalijui hili nikuwa wiki moja kabla ya cc kule Zanzibar vigogo wa ccm na wazee mashuhuri walimfuata Jaji Ramadhani hapa Dar na kule Zanzibar kwa ndugu zake wakamsihi achukue fomu zoezi likianza, lakini amewakatalia katakata, juhudi za kila aina za ushawishi zimekwama. Sasa timu hiyo imehamia kwa Prof Mahiga ambaye nae amekataa katika vikao vya awali, kikao kingine kitakalika wiki ijayo baada ya timu hiyo kwenda kijijini kwa familia ya Mahiga kuwaomba wamruhusu agombee. Hali hiyo inatoa mwanya kwa Makongoro Nyerere na Magufuli kuwa ndio watu wanaoikubali ofa hiyo ya kufa na jini hili liitwalo ccm.
mahiga ninayemjua hawezi kukataa ni mpenda madaraka sana
 
rais ni lowasa pamoja na vita yote anayopigwa ...ukiona mpaka wagombea hawataki jua ni mpango wa Mungu...Mungu kashampangia lowasa kukomboa uchumi wa nchi hii time will tell hakuna wa kuzuia...makongoro nyerere hana ethics za kupewa nchi
 
Lowassa amenyanyaswa sana, ameinewa sana, kila siku wanapiga fitna eti Lowassa ni FISADI wakati real really FISADI wanagawana fedha kwenye mifuko ya SANDARUSI mchana kweupe na hadi leo hakuna Action yoyote... Lowassa akikubali this time itakuwa amewakosea sana wananchi ... Tunajua kuwa Lowassa alimezea Kifo cha Sokoine, Tunajua kuwa ile Issue ya Richmond ilikuwa ni ya USA na Prezzo ... kwanini aendelee kunyanyasika? si bora ajifie tu kama walivyomfanza Mgimwa? ..

These are Boys II men, km prezdaa ni mwizi basi Lowassa hawezi kukikwepa kikombe.

Kama alionewa kwanini hakuwataja wahusika??? Acha mbwembwe dogo, Watanzania sio wajinga kiasi hicho😕
 
kwa wanaccm ambao hawalijui hili nikuwa wiki moja kabla ya cc kule zanzibar vigogo wa ccm na wazee mashuhuri walimfuata jaji ramadhani hapa dar na kule zanzibar kwa ndugu zake wakamsihi achukue fomu zoezi likianza, lakini amewakatalia katakata, juhudi za kila aina za ushawishi zimekwama. Sasa timu hiyo imehamia kwa prof mahiga ambaye nae amekataa katika vikao vya awali, kikao kingine kitakalika wiki ijayo baada ya timu hiyo kwenda kijijini kwa familia ya mahiga kuwaomba wamruhusu agombee. Hali hiyo inatoa mwanya kwa makongoro nyerere na magufuli kuwa ndio watu wanaoikubali ofa hiyo ya kufa na jini hili liitwalo ccm.

kwanza acha kujipachika jina lisilokuhusu ukaacha jina la babu yako.unajidhalilisha unavyoongea uongo
 
ccm kutegemea raisi ajaye atatoka ndani ya ccm ni sawa na kumpa mgonjwa uji wenye sumu ukitegemea atapona kumbe ndo anakufa ccm ina hali mbaya sana inaweza kuanguka kabla ya hata octoba.
 
rais ni lowasa pamoja na vita yote anayop ...ukiona mpaka wagombea hawataki jua ni mpango wa Mungu...Mungu kashampangia lowasa kukomboa uchumi wa nchi hii time will tell hakuna wa kuzuia...makongoro nyerere hana ethics za kupewa nchi

Lowasa anaumwa yule anatakiwa kupumzika akachunge ng'ombe huko kwao monduli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom